Kwa wadau wa vyombo vya majini, boti ndogo na Jet Ski Kwa ajili ya uvuvi,utalii na michezo

Hii inakuwa used wapi kiongozii
 
Mkuu weka mawasiliano nataka mnitegenezee ya kufanyia utalii (binafsi lakini), iwe na sebure, chumba, jiko, choo, min bar etc, je mnaweza tengeneza?
Email: spabitonmarine@gmail.com
Whatsap: 0655361223

Karibu sana mkuu unaweza ukaja na mchoro au tukakaa pamoja tukajadili vitu utavyotaka uwekewe katika boti yako.
 
I see, nina shida na boti ndogo, naambatanisha picha hapa. Nataka kujua gharama zake, haihitaji kwa ajili ya uvuvi mdogo mdogo. Ya fiber nadhani itafaa zaidi. Naomba nijue gharama zake
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2021-03-04 at 08.35.12.jpeg
    44.8 KB · Views: 40
I see, nina shida na boti ndogo, naambatanisha picha hapa. Nataka kujua gharama zake, haihitaji kwa ajili ya uvuvi mdogo mdogo. Ya fiber nadhani itafaa zaidi. Naomba nijue gharama zake
Mkuu karibu sana, kwenye urefu na upana unataka iwe mita ngapi.
 
I see, nina shida na boti ndogo, naambatanisha picha hapa. Nataka kujua gharama zake, haihitaji kwa ajili ya uvuvi mdogo mdogo. Ya fiber nadhani itafaa zaidi. Naomba nijue gharama zake
Mkuu hili wimbi kubwa halitakubinulia baharini?
 
Habari! Mimi naitaji kuingia kwenye biashara ya uvuvi baharini! Ningependelea kutumia fiber boats sasa nataka kujua gharama kuanzia bei ya boat (25fts urefu na upana iwe 6fts) na bei ya engine inayowez kufaa hapo na vitu gani nitahitaji kwenye kaz hyo na gharama zake , pamoja na usajili wa chombo na leseni ya biashara . Nitashukuru sana kama ntapata hizo details nipo very near kuanza hyo biashara . Asante
 
Walikujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…