Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

Trophic

Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
11
Reaction score
8


Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi?

Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo?

Natumia Fl Studio + Ableton Live.

Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda Electronic Music yenye touch ya nyumbani πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Anyways, track ni hii hapa:

Zoom by mimi Trophic na iko kwenye Streaming Platforms zote 🀞🏾

Ushauri wowote ule unapokelewa πŸ™ƒπŸ™πŸΎ.


View: https://youtu.be/w_JZXhzkkUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…