Kwa wafanyabiashara walionza na mitaji midogo na wakafanikiwa

Kwa wafanyabiashara walionza na mitaji midogo na wakafanikiwa

Nilianza biashara ya kuku nikiwa na kuku 150. Leo hii ninapoandika uzi huu nimemalizia kuku wawili wa mwisho kwa kuwabanika.

Ushauri pekee ninaoweza toa ni kuwa mafanikio ya mtu mmoja katika biashara moja sio mafanikio ya mwingine katika biashara hiyo hiyo.
 
Ulikuwa unafuga kuku wa aina gani??? Tupe uzoefu mkuu ilikuwaje??
 
Biashra za kwenye vitabu cjui richest nini hivyo ni tofaut kabisa na uhalisia wa bishara zetu za kibongo bongo
Biashra za bongo kufanikiwa zinambinu zake tofaut kabisa ambazo kila mtu anasiri yake na wabongo tuliwachoyo hakuna mtu mweny ujasirii wa kuziweka waziii
Na ukitaka kuamini. Angalia tu hawa wafanyabiashara wakubwa kama shabiby et anakwambia alianza kuuza karanga shule ya msingi akananunua basiii hivii inaingia akilini kwelii?
Mwingine super feo wa songea alianza ety na elfu ishirini mwingine biashra ya mkaaa
 
Back
Top Bottom