Kwa wafugaji, kama unafuga Kuku wa nyama (Broiler) na hauna soko la uhakika

malela.nc

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
256
Reaction score
345
Habari wakuu,

Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara.

Habari njema kwao, kama wewe ni mfugaji wa hawa kuku wa nyama (broiler) na unapatikana Dar es salaam basi naomba tuwasiliane katika kupata soko la uhakika.

NB: Hii ni kwa wafugaji wakazi wa Dar es salaam tu.
 
Mbona hujaweka mawasiliano mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…