Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote.

Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na
wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa,

1.Usipende kutamani mafanikio ya watu na kuumia moyo utajikuta unapata msongo wa Mawazo.

2.Ridhika na unachopata Kwa wakati huo,kuazimana na kukopeshana kupo ila siyo lazima usaidiwe.

3.Mtu kama hajakusaidia,isionekane ana roho mbaya,ni kwamba kila mtu ana mipango na majukumu yake.usimtangaze mtu vibaya

4.Punguza kueleza shida zako haswa Kwa wafanyakazi wenzio kama hakuna ulazima itasaidia kulinda heshima yako.

5.Punguza wivu na chuki, mafanikio unayoyaona Kwa wafanyakazi wenzio hayajaja tu mapambano na jitihada za miaka mingi zimewafikisha walipo.

6.Fanya kazi kwenye eneo lako,usiingilie maeneo ya wengine kama hujaombwa, pia ushauri wako mzuri utoe pale ukihitajika.

7.Usikosoe kazi ya mwenzio hadharani hata kama si sahihi,kosoa kistaarabu ukimuita mkiwa wawili ni nzuri zaidi.
Unajua kwanini wengine hufanya vibaya kazi zao si kwakuwa hawajui Bali Kwa kushinikiza malipo au kutaka kifaa kipya.au kutengeneza mazingira ya maokoto.hivyo acha mambo ya wenyewe

8.Usipende kuzoeana na maboss hata kama anakukubali,we fanya habari za kazini.

9.Usipende kuomba ruhusa kila mara ,wagonjwa na misiba isiyo ya lazima waweza tuma mchango Tu.

10,Heshimu kibarua chako hapo ulipo hata kama kuna watu wamekuahidi kazi nzuri yenye maslahi mazuri.
cheza vizuri na ulipo kwanza

11.{Kwa wanaume}
Usipende kuchangamkia kila mtu ili uonekane upo charming kuwa kawaida salimia pita hivi ,habari za watoto wanaamkaje,mara sijui nani unasalimia mpaka usiowajua.huu ni ushamba.

12.Hizi siyo Sheria,ishi utakavyo ili mradi huvunji Sheria za nchi.
 
Upo sawa mkuuu,
 
Usipende kuchangamkia kila mtu ili uonekane upo charming kuwa kawaida salimia NB an pita hivi ,habari za watoto wanaamkaje,mara sijui nani unasalimia mpaka usiowajua.huu ni ushamba.

12.Hizi siyo Sheria,ishi utakavyo ili mradi huvunji Sheria za nchi.
Tunaomba ufafanue namba 11. Inakuwaje ni ushamba tukizijulia hali familia za rafiki zetu?
 
Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote.

Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na
wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa,

1.Usipende kutamani mafanikio ya watu na kuumia moyo utajikuta unapata msongo wa Mawazo.

2.Ridhika na unachopata Kwa wakati huo,kuazimana na kukopeshana kupo ila siyo lazima usaidiwe.

3.Mtu kama hajakusaidia,isionekane ana roho mbaya,ni kwamba kila mtu ana mipango na majukumu yake.usimtangaze mtu vibaya

4.Punguza kueleza shida zako haswa Kwa wafanyakazi wenzio kama hakuna ulazima itasaidia kulinda heshima yako.

5.Punguza wivu na chuki, mafanikio unayoyaona Kwa wafanyakazi wenzio hayajaja tu mapambano na jitihada za miaka mingi zimewafikisha walipo.

6.Fanya kazi kwenye eneo lako,usiingilie maeneo ya wengine kama hujaombwa, pia ushauri wako mzuri utoe pale ukihitajika.

7.Usikosoe kazi ya mwenzio hadharani hata kama si sahihi,kosoa kistaarabu ukimuita mkiwa wawili ni nzuri zaidi.
Unajua kwanini wengine hufanya vibaya kazi zao si kwakuwa hawajui Bali Kwa kushinikiza malipo au kutaka kifaa kipya.au kutengeneza mazingira ya maokoto.hivyo acha mambo ya wenyewe

8.Usipende kuzoeana na maboss hata kama anakukubali,we fanya habari za kazini.

9.Usipende kuomba ruhusa kila mara ,wagonjwa na misiba isiyo ya lazima waweza tuma mchango Tu.

10,Heshimu kibarua chako hapo ulipo hata kama kuna watu wamekuahidi kazi nzuri yenye maslahi mazuri.
cheza vizuri na ulipo kwanza

11.{Kwa wanaume}
Usipende kuchangamkia kila mtu ili uonekane upo charming kuwa kawaida salimia pita hivi ,habari za watoto wanaamkaje,mara sijui nani unasalimia mpaka usiowajua.huu ni ushamba.

12.Hizi siyo Sheria,ishi utakavyo ili mradi huvunji Sheria za nchi.
Ongezea: mapenzi sehemu ya kazi ni mwiko.
 
Back
Top Bottom