Kwa Wahenga: Mnaomkumbuka muigizaji Mwanaachia aliigiza na Mzee Majuto na Mzee Small

Ile Taswira ya yule jini wa kipindi kile imenikaaa hata sasa, ilinisumbua sanaa those times ,ika nipea njozi za kuogofya sanaa,🤣.

Kuna muda alicheza kama mganga akawa ana mtibia jamaa fulani chizi ,kaletwa kwake kafungwa kamba. Jamaa akawa anakula misosi ya chizi, Yule akafanya hiiii kitu kuwa personal 🤣....
 
Nilikuwa napenda jinsi Mzee Small na Tupatupa walivyokuwa wanacheka Kama intro ya kipindi. Zamani Sana.
 
Namkumbuka, gongo ilipita nae mapema mno
 
At least nimefaidi faidi kazi za max...alikuwa mtu sana huyu.

Hivi wakuu huyu jamaa wa mizengwe ni mdogo wake na mac au ni hisia zangu tu.
Ndg yake kweli baada ya kifo cha Max Crew ya Mizengwe waliamua kumchukua Mkwere kwasababu anafana na kaka yake wakaamua kumfundisha ucheshi ili azibe pengo la Marehem Max
 
Nawakumbuka sana
  1. Mzee Small
  2. Bi Chau
  3. Yombayomba
Duh! Yombayomba ni wa zamani sana comrade, miaka mwanzoni baada ya uhuru. Wakati huo hata yule mwigizaji mzee kabisa kwa sasa, Bi. Thecla Mjata alikuwa msichana tu.

Ova
 
Duh! Yombayomba ni wa zamani sana comrade, miaka mwanzoni baada ya uhuru. Wakati huo hata yule mwigizaji mzee kabisa kwa sasa, Bi. Thecla Mjata alikuwa msichana tu.

Ova
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…