Kwa Wahenga tuu....

sikuelewi mkuu, n=mimi siitwi Joseveret

Ndiyo nilikuwa naendeleza ya joseverest kwa namna alivyojieleza kuwa hakuweza kupata nafasi ya kuomba ndizi ili maswali yasiendelee?
 
umenikumbusha mbali sana, unajua mie mchaga bhana acha nijitambulishe, sasa kule kwetu wanaume hawakubali kushindwa, akiona karibia anashindwa anaomba achomewe ndizi.

kama wewe ni mchaga utanielewa kuchomewa ndizi hapo kunamaanisha nini.

teh teh

Wewe ni mchagga wa wapi?nasikiaga kuna wakibosho,wauru,wasiha,wamachame,wamarangu,warombo,wakiruwa,waoldmoshi n.k.
 
Ndiyo nilikuwa naendeleza ya joseverest kwa namna alivyojieleza kuwa hakuweza kupata nafasi ya kuomba ndizi ili maswali yasiendelee?
wewe ni mjanja sana niliona.

thanks mkuu, ulielewa lakini? maana ya kuchomewa ndizi? kama wewe ni mchaga utaelewa

teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…