Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
Nothing impossible under the sun. No harm meeting strangers like me.Am sorry, i dont know if you'll make it....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing impossible under the sun. No harm meeting strangers like me.Am sorry, i dont know if you'll make it....
haaaaa hapo unanitafuta maneno wangu, siwezi jua mimi.
sikuelewi mkuu, n=mimi siitwi JoseveretJoseveret hivi ulifanikiwa kuomba kuchomewa ndizi kweli?
Kama ulishindwa basi chukua maujanja hayo hapo juu.
Kabisa mkuu. Vijana wa sasa hata kupiga chombo kimoja cha muziki hawaweziTrue mkuu sio vijana wa sasa hivi wanaleta mapozi
Okaman hatari sana,,ikiisha hiyo weka na ya madona la isla bonita.. ikifuatiwa na holiday bila kusahau billie jean yake michael jackson na OKAMAN ya monique seka.. lkn mimi si muhenga ila nimekaa karibu na wahenga😱
sikuelewi mkuu, n=mimi siitwi Joseveret
umenikumbusha mbali sana, unajua mie mchaga bhana acha nijitambulishe, sasa kule kwetu wanaume hawakubali kushindwa, akiona karibia anashindwa anaomba achomewe ndizi.
kama wewe ni mchaga utanielewa kuchomewa ndizi hapo kunamaanisha nini.
teh teh
wewe ni mjanja sana niliona.Ndiyo nilikuwa naendeleza ya joseverest kwa namna alivyojieleza kuwa hakuweza kupata nafasi ya kuomba ndizi ili maswali yasiendelee?
namba sita.Wewe ni mchagga wa wapi?nasikiaga kuna wakibosho,wauru,wasiha,wamachame,wamarangu,warombo,wakiruwa,waoldmoshi n.k.
Hizi teknolojia zimewapumbaza mnoKabisa mkuu. Vijana wa sasa hata kupiga chombo kimoja cha muziki hawawezi