Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Rais Mteule1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?
2. Nini Kiswahili cha haya maneno?
- shule
- chai
- pesa.
- redio
- shati
Kateuliwa na nani?Rais Mteule
nadhani ni kwasababu inatamkika kirahisi zaidi1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?
Itakuwa hivyo maana kimantiki haina maana.nadhani ni kwasababu inatamkika kirahisi zaidi
Hmm….hebu jaribu tena kuelezea 🤣.Neno moja hua lina tafsiri zaidi ya moja,
mteule/wateule maana yake Waliyochaguliwa ''Chosen one''
Mfano ''Mgombea urais mteule'' Hapo mteule yani amechaguliwa na chama chake kugombea nafasi ya urais.
Kiswahili kimeazima maneno mengi sana toka lugha zingine!Kiswahili cha maneno uliyoyataja ndicho hichohicho, si tumetohoa mazee!
Neno Raisi Mteule limekaa vibaya kama neno la kiingereza Criminal Lawyer. Mtu anaweza kuchanganya tafasiri kwamba either a lawyer is a criminal or a lawyer specializes in criminal law.
Mfano,Hmm….hebu jaribu tena kuelezea 🤣.
Nafkiri neno mteule limetumika kama upekee wa kuongeza maana ya umuhimu kwa kuzingatia vigezo vya kijamii zaidi. Maana ktk dini na Imani pamoja utapambana kuishika dini yako lakini maamuzi ya kuingia ktk pepo bado hayapo kwako. Yapo kwa Mola wako. Ndiyo maana ktk Imani na dini wanasema waitwao ni wengi wateule ni Wachache. Naamini kwa maana hiyo hiyo neno rais mteule limetumika kuonesha si iituhada za mgombea Bali ninkama bahati yeye kuwa pale.1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?
2. Nini Kiswahili cha haya maneno?
- shule
- chai
- pesa.
- redio
- shati
Kuteuliwa ni kuwa appointed.Mfano,
Mwanasheria mteule wa familia (ili asimamie mirathi ya Marehemu)
Hapo maana yake huyo Mwanasheria amechaguliwa na wana familia husika/Ameaminiwa ili awawakilishe kwenye mirathi.
Kiswahili kimeazima maneno mengi sana toka lugha zingine!
Hata ‘pilau’ ni neno ambalo limeazimwa.
kateuliwa na waliomchagua.Kateuliwa na nani?
Unateuliwa baada ya majadiliano ya wanafamilia na kukubaliana kisha ndio wanakuchagua/kukuteua wewe,Kuteuliwa ni kuwa appointed.
‘The family will appoint a lawyer to be the executor of the decedent’s will’.
‘Familia itamteua mwanasheria kuwa msimamizi wa mirathi ya marehemu’.
Ni kweli!Lugha zote zinaazima maneno.
Lugha ya kiingereza maneno yake ya asili ni 24% tu, mengine imeazima kutoka kwenye kifaransa, kilatini, kigiriki, kidenishi na kijerumani.
mteuleKabla ya kuchaguliwa anaweza kuwa aliteuliwa kwanza na chama chake🤔