Kwa wajuzi na wajuvi wa Kiswahili, nini Kiswahili cha haya maneno?

Kwa wajuzi na wajuvi wa Kiswahili, nini Kiswahili cha haya maneno?

Kwani ndipo umekurupuka usingizini, mkuu? Mbona uko nje ya mada, kana kwamba umetokea kwenye vikao vya vyama vya siasa?
Katafune maembe mabichi yatakusaidia kupunguza maumivu ya ujauzito,naona umekuja spidi na kuanza kukashifu kila mchangiaji,

Toa ujinga wako hapa au utakipata unachokitafuta.
 
nadhani maanisha yake ilikuwa hii: ameteuliwa na Mungu ila kachaguliwa na wananchi.
kuonesha kiongozi bora wa nchi mungu ndiye anapanga ila sie tunakamilisha kwa kumchagua japo hii ni jurisprudence ya kiimani zaidi.
 
Kuchagua, unaweza kuchagua ata kisicho faa.
Ila kuteua, ina maana umeona anafaa.
Kwa kuwa wananchi ni wengi, na ni vigumu kusikia sauti yao katika kuteua, ndio maana wanatumia njia ya kura kuteua na si kuchagua.
Kwa mazingira hayo, tunasema wananchi wame mteua​
I think you’re just winging it 🤣.
 
Shule Ni neno lilitokana na Kijerumani ( Schule ) kiswahili yake yaweza kuwa Kilinge.
 
Bora umelijua hilo 😹
Huyo Ngabu kaamua kuwazingua makusudi, naona ukisema hivi yeye anakudaka juu kwa juu kukupinga 🤣🤣
Kazi mnayo
🤣

Halafu Lamomy wewe juzi kuna mtu alisema umepigwa ban!

Kweli ulikuwa umepigwa ban na kama ni kweli, kwa nini walikulima ban hao mods?

Usikute ulimbwatukia mtu halafu wanoko wakakuripoti kwa mods.
 
1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.

Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?

President - rais.

Elect-chagua/ chaguliwa.

Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?

2. Nini Kiswahili cha haya maneno?
  • shule
  • chai
  • pesa.
  • redio
  • shati
Neno sahihi ni Rais mchaguliwa
 
🤣

Halafu Lamomy wewe juzi kuna mtu alisema umepigwa ban!

Kweli ulikuwa umepigwa ban na kama ni kweli, kwa nini walikulima ban hao mods?

Usikute ulimbwatukia mtu halafu wanoko wakakuripoti kwa mods.
😹😹😹
Kuna watu wachokozi sana humu, hata nikijitahidi niwapotezee hawataki..

Kuna member mmoja nilimchachua aliingilia mambo yetu ya kike. Alivyoona kashindwa akaniripoti kwa mods wakanipa ban kule selfika. Ila sio permanently ban km yule mjinga alivyosema.

Soon narudi nione pics za auntie yangu halfcast la kisukuma 🥰
 
😹😹😹
Kuna watu wachokozi sana humu, hata nikijitahidi niwapotezee hawataki..

Kuna member mmoja nilimchachua aliingilia mambo yetu ya kike. Alivyoona kashindwa akaniripoti kwa mods wakanipa ban kule selfika. Ila sio permanently km yule mjinga alivyosema. Soon narudi nione pics za auntie yangu halfcast la kisukuma 🥰
Auntie huyo hapo anachunga ng’ombe 🤣.

IMG_7301.jpeg
 
1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.

Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?

President - rais.

Elect-chagua/ chaguliwa.

Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?

2. Nini Kiswahili cha haya maneno?
  • shule
  • chai
  • pesa.
  • redio
  • shati
Ulitaka aitwe rais wa manyani.
 
Back
Top Bottom