The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Katafune maembe mabichi yatakusaidia kupunguza maumivu ya ujauzito,naona umekuja spidi na kuanza kukashifu kila mchangiaji,Kwani ndipo umekurupuka usingizini, mkuu? Mbona uko nje ya mada, kana kwamba umetokea kwenye vikao vya vyama vya siasa?
I think you’re just winging it 🤣.Kuchagua, unaweza kuchagua ata kisicho faa.
Ila kuteua, ina maana umeona anafaa.
Kwa kuwa wananchi ni wengi, na ni vigumu kusikia sauti yao katika kuteua, ndio maana wanatumia njia ya kura kuteua na si kuchagua.
Kwa mazingira hayo, tunasema wananchi wame mteua
Bora umelijua hilo 😹Tatizo ni kwamba umeuliza swali huku tayari ukiwa na majibu yako.
Kumekucha 😹😹Nitolee upumbavu wako hapa wewe Mjane.
😹😹😹 Subirini mwaka uishe ndo mgombane jirani.Katafune maembe mabichi yatakusaidia kupunguza maumivu ya ujauzito,naona umekuja spidi na kuanza kukashifu kila mchangiaji,
Toa ujinga wako hapa au utakipata unachokitafuta.
🤣Bora umelijua hilo 😹
Huyo Ngabu kaamua kuwazingua makusudi, naona ukisema hivi yeye anakudaka juu kwa juu kukupinga 🤣🤣
Kazi mnayo
Neno sahihi ni Rais mchaguliwa1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?
2. Nini Kiswahili cha haya maneno?
- shule
- chai
- pesa.
- redio
- shati
Hata mimi naona hivyo.Neno sahihi ni Rais mchaguliwa
😹😹😹🤣
Halafu Lamomy wewe juzi kuna mtu alisema umepigwa ban!
Kweli ulikuwa umepigwa ban na kama ni kweli, kwa nini walikulima ban hao mods?
Usikute ulimbwatukia mtu halafu wanoko wakakuripoti kwa mods.
Auntie huyo hapo anachunga ng’ombe 🤣.😹😹😹
Kuna watu wachokozi sana humu, hata nikijitahidi niwapotezee hawataki..
Kuna member mmoja nilimchachua aliingilia mambo yetu ya kike. Alivyoona kashindwa akaniripoti kwa mods wakanipa ban kule selfika. Ila sio permanently km yule mjinga alivyosema. Soon narudi nione pics za auntie yangu halfcast la kisukuma 🥰
Auntie mshweeetiii 🥰🥰🥰😘💋
Jirani mambo mengi, si unajua sie mawinga wa kkoo muda wote tunapambana. 😀
Ulitaka aitwe rais wa manyani.1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?
2. Nini Kiswahili cha haya maneno?
- shule
- chai
- pesa.
- redio
- shati
🖕Ulitaka aitwe rais wa manyani.