Kwa wajuzi wa maswala ya uzazi help plz

Kwa wajuzi wa maswala ya uzazi help plz

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Mimi nilijifungu miezi kumi iliyopita tangu nimejifungua ni ule mwenzi wa uzazi tu ndo niliona siku zaku baada ya hapo imekata mpaka sasa sijaona je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? nauliza maana sijui huo ndio ulikuwa uzazi wangu wa kwanza plz help me
 
Kama unanyonyesha sio tatizo ni asili; lkn kwa uhakika nenda hosptl.
 
Mimi nilijifungu miezi kumi iliyopita tangu nimejifungua ni ule mwenzi wa uzazi tu ndo niliona siku zaku baada ya hapo imekata mpaka sasa sijaona je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? nauliza maana sijui huo ndio ulikuwa uzazi wangu wa kwanza plz help me
Mimi huwa nakaa mpaka niache kunyonyesha.ila sijawahi kuuliza kama ni tatizo.
 
kama kwa kipindi hicho hukujamiiana na mumeo akapanda mimba nyingine, basi jaribu kwenda hospitali uonane na wataalam watakusaidia, pole sana
 
ikiingia mtoto mwingine utajuaje au mpaka kianze kuumuka?
ni mwendo wa condom, au kumwaga nje. nakuomba sana isitokee bahati mbaya.ilitokea mtoto wa kwanza mwaka na miezi 7 tu tayari kichefuchefu nikashtuka kupiama wik2 imeingia nililiaje. lakini mtoto wa pili nimenyonyesha mpaka miaka 2. salama nilipoacha ikaanza.
 
Kwani unajisikia vibaya au kichefuchefu? Kama hapana ni hali ya kawaida, me nilivyojifungua mtoto wa kwanza nilikaa mwaka na miezi 3, ndio nikapata period, wa pili nilikaa mwaka na miezi 4, na huyu wa tatu sasa ana mwaka na miezi 7 na mpaka sasa sijapata period, wakati mwingine ni maumbile ya mtu, na ilikuwa mpaka nipate period ndio nashika mimba, kama ni mimba utaona dalili zake, ila yatakuwa ni maumbile yako, usihofu, pia umwambie shem awe anamwaga nje mimba isije ingia kama hujaipangia
 
Sio tatizo kama unanyonyesha, kwa baazi ya kina mama huwa inatokea.. Wengine hufika hata mwaka mmoja au mpaka mtoto aache kunyonya.

Homoni zinazozalisha maziwa huwa zimezidi zile za kupevusha yai.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
bado ninanyonyesha na sijakutana kimwili na mwenza wangu kwa sababu yupo nje kikazi na alivokuja likizo nilikuwa naumwa maana nilijifungua kwa operation na ilikuwa ni kipindi cha baridi
 
kama kwa kipindi hicho hukujamiiana na mumeo akapanda mimba nyingine, basi jaribu kwenda hospitali uonane na wataalam watakusaidia, pole sana

sijajamiana nae na bado nanyonyesha yeye pia nilimuuliza kuhusu ili akaniambia nijaribu kuuliza kwa wataalam wanishaur zaid
 
Huna tatizo ni jambo la kawaida kwa vile unanyonyesha. Tulia usipate taabu
Mimi nilijifungu miezi kumi iliyopita tangu nimejifungua ni ule mwenzi wa uzazi tu ndo niliona siku zaku baada ya hapo imekata mpaka sasa sijaona je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? nauliza maana sijui huo ndio ulikuwa uzazi wangu wa kwanza plz help me
 
Kwani unajisikia vibaya au kichefuchefu? Kama hapana ni hali ya kawaida, me nilivyojifungua mtoto wa kwanza nilikaa mwaka na miezi 3, ndio nikapata period, wa pili nilikaa mwaka na miezi 4, na huyu wa tatu sasa ana mwaka na miezi 7 na mpaka sasa sijapata period, wakati mwingine ni maumbile ya mtu, na ilikuwa mpaka nipate period ndio nashika mimba, kama ni mimba utaona dalili zake, ila yatakuwa ni maumbile yako, usihofu, pia umwambie shem awe anamwaga nje mimba isije ingia kama hujaipangia

Hapana sijisikii vibaya, wala sijajamiana tangu nimejifungua maana mshono ulinisumbua kidogo
 
ni mwendo wa condom, au kumwaga nje. nakuomba sana isitokee bahati mbaya.ilitokea mtoto wa kwanza mwaka na miezi 7 tu tayari kichefuchefu nikashtuka kupiama wik2 imeingia nililiaje. lakini mtoto wa pili nimenyonyesha mpaka miaka 2. salama nilipoacha ikaanza.

Huoni kama unamkatiri kijinsia Mr.ako?
 
bado ninanyonyesha na sijakutana kimwili na mwenza wangu kwa sababu yupo nje kikazi na alivokuja likizo nilikuwa naumwa maana nilijifungua kwa operation na ilikuwa ni kipindi cha baridi

kwa uhakika zaidi unaweza kumwona dk pia. Ila suala la muhimu sana ni usithubutu kufanya mapenzi bila kinga...
 
Back
Top Bottom