pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Mimi nilijifungu miezi kumi iliyopita tangu nimejifungua ni ule mwenzi wa uzazi tu ndo niliona siku zaku baada ya hapo imekata mpaka sasa sijaona je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? nauliza maana sijui huo ndio ulikuwa uzazi wangu wa kwanza plz help me