Kuna kitu kimoja ni muhimu kukiweka akilini linapokuja suala la vyombo vya habari. Ni kwamba hakuna chombo cha habari kilicho huru, vyote vina upande inaoutumikia.
Si unaona media kama Mwananchi unaweza ukadhani iko huru, lakini nenda pale ukawape habari nzuri ya kuwatwanga jamii ya Agha Khan au taasisi zake, hawataitoa.
Wapelekee habari ya kumtandika Rostam, kamwe hawataitoa hata kama iwe ya mauzo kiasi gani. Hii ni kwa sababu ambaye anamlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo.
Iko hivyo hata kwa waandishi wa habari pia.
Ova