Kuna kitu kimoja ni muhimu kukiweka akilini linapokuja suala la vyombo vya habari. Ni kwamba hakuna chombo cha habari kilicho huru, vyote vina upande inaoutumikia.Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
nliona habari nyingi zinaonesha uonevu wanaofanyiwa waislam tu ila hawatangaz matendo ya waislam kwa jamii nyingibe inayopelekea waislam wachukiweGęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
China na Israel ni sawa,china walikua wakibomoa misikiti,kuwalisha waislam nguruwe kwa lazina Ramadan,kuwahasi waislam na kuwaweka camp,ukiwa kiongozi china utaacha kuifukuza!?..Al Jazeera tkriban kila mwaka ndiyo channel Bora kwa documentary,kitu ambacho Al Jazeera watakua bias ni kuwa dhidi ya serikali ya QatarSoma historia ya Al Jazeera, kuna nchi kama China Al Jazeera walifukuzwa na haipo. Pamoja na kuwa chombo kikubwa cha habari ila kuna ukweli kwamba ni chombo kwa ajili ya waarabu na Uislamu kama ambavyo BBC vyombo vya magharibi vilivyo kwa ajili ya wamagharibi.
Kama wewe ni muislam au mwarabu basi Al Jazeera ni kwa ajili yako, kama wewe siyo muislamu na mwarabu basi Al Jazeera si kwa ajili yako bora usikilize Clouds na uangalie TBC.
Ni chombo gani hakina doubke standards, ni BBC, ni CNN au ni kipi? Kama tu Trump alikuwa analalamikia vyombo vyao wenyewe kuripoti vibaya taarifa zakeGęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
Aljazeera wana mjukuu wao hapa Tanganyika Azam Tv.Soma historia ya Al Jazeera, kuna nchi kama China Al Jazeera walifukuzwa na haipo. Pamoja na kuwa chombo kikubwa cha habari ila kuna ukweli kwamba ni chombo kwa ajili ya waarabu na Uislamu kama ambavyo BBC vyombo vya magharibi vilivyo kwa ajili ya wamagharibi.
Kama wewe ni muislam au mwarabu basi Al Jazeera ni kwa ajili yako, kama wewe siyo muislamu na mwarabu basi Al Jazeera si kwa ajili yako bora usikilize Clouds na uangalie TBC.
Huu ndio uhalisia dunia nzima kwenye ulimwengu wa habariKuna kitu kimoja ni muhimu kukiweka akilini linapokuja suala la vyombo vya habari. Ni kwamba hakuna chombo cha habari kilicho huru, vyote vina upande inaoutumikia.
Si unaona media kama Mwananchi unaweza ukadhani iko huru, lakini nenda pale ukawape habari nzuri ya kuwatwanga jamii ya Agha Khan au taasisi zake, hawataitoa.
Wapelekee habari ya kumtandika Rostam, kamwe hawataitoa hata kama iwe ya mauzo kiasi gani. Hii ni kwa sababu ambaye anamlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo.
Iko hivyo hata kwa waandishi wa habari pia.
Ova
kama mkiristo mwenye chuki na uislam na waislam utasema hakifai. Kama myahudi utasema kifutwe. lkn mwenye akili zilitulia na mpigania haki utasema kinafaa tena top 10. sasa sijui wewe upo kundi ganiGęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
Ukweli ni kwamba hakuna chombo cha habari ambacho kipo huru kwasababu ya sera ya chombo husikaGęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
Uharo mtupu.Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
Habari ipi ya ukweli Aljazeera wameshawahi kureport? Walisema Hospital imelipuliwa na watu 800 wamekufa ukweli ni Islamic jihad ndio walilipua na ilikuwa parking hamna ushahidi hata mtu mmoja aliyekufa na Aljazeera hawajawahi kanusha wamebeba roho za uongo kwenye mafile yao..Hizi ni kampeni za kipuuzi tu kuichafua aljazeera, kwenye mzozo pale Gaza aljazeera walikuwa hawana ujinga kuficha matukio, Israel imeipiga aljazeera marufuku ku report kutoka Gaza kisa wana report habari kamili inayoendelea huku bbc, cnn, fox n.k wakificha mambo mengi.
Kama QuranUharo mtupu.
Nonsense wewe unachotakiwa kujua vyombo vyote vya habari vinawakilisha interest ya mtu au watu fulaniGęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs