wAFAA Uanzishe chicken party. Mpo wapi nyinyi,;; lakini uliye nae yawezekana hajui uko hivi, anakuchukulia poa tu. Goon dadaaah.washauri vijana wenzio bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wAFAA Uanzishe chicken party. Mpo wapi nyinyi,;; lakini uliye nae yawezekana hajui uko hivi, anakuchukulia poa tu. Goon dadaaah.washauri vijana wenzio bwana
We binadamu upo? nina kama wiki sijakutia machoni, well ujumbe umefika ila kiukweli hata wadada magari mnayoendesha kadi zipo kwa waliowapa magari siku ukiwa goigoi kwenye kutoa huduma unanyang'anywa gari unarudi kwenye daladala!
Sasa sijui yule wa kukopa na wa kuhongwa yupi yupo juu..........
nipo moh'd. Vipi kisomo cha uzeeni? Mi staki gari ya kupewa, labda nipewe na baba. Lol.
Kibajaji hutaki?
Hii thread utadhani imeniongelea mimi, Nna ka gari kamkopo, Nimepanga upande wa nyuma ya nyumba sinza, Na starehe nimeeendekeza kila weekends. Lakini baada ya kujifikiria sana naona sio tatizo. Sijaoa, Sina majukumu na mshahara wangu unamaliza mwezi bila kujibana sana pamoja na kuwa ninahonga from time to time. Baada ya ku graduate ukibahatika kupata kazi haraka unakuwa unafikiria nifaidi vipi maisha.
Sikuwa na matumizi makubwa wakati niko chuo hivyo kinachobaki ukitoa makato mwanzo wa mwezi kinadumu vizuri tuu. Alafu Ningeambiwa nitoe 12m cash kulipia gari nisingeweza so sio kosa. Hadi nitakavyokuwa na Commitments sioni kuwa nakosea. You only live once sijui wewe ulitaka nichukue 12m nikanunue kiwanja? alafu ningejengaje wakati ninalipa mkopo? Bongo tambarare
Walikuwa wana utajiri wa ng'ombe na mashambaNyie ndo mnaotufanya tuwe hivo
Kwani zamani watu walivokuwa hawana hata mkokoteni walikuwa hawaoi?
Acheni ulimbukeni wa maisha