charger
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 2,320
- 1,371
Habari zenu wana jf,naamini mpaka unasoma post hii basi upo fine.
Leo nimekuja na haka katopic,kuhusu kuvaa apron wakati wa mapishi.Minafikiri mapishi sio apron ni issue ya mpishi mwenyewe.Nasio lazima kila kitu kipikiwe jikoni,siku unaweza amua ku make barbeque hapo utahitajika kupika huku umesimama tena nje.Na hiyo kitu unaweza ipika ukiwa una suit eti! na msosi ukawa poa tu.Au unaweza ukawa mbunifu zaidi mayai ukachemsha kwenye kettle badala ya sufuria cha msingi si yaive tu au?Na kama umechoka vya kukaanga deep frying unaweza kufanya steaming uzuri wa steamer unaweza kubeba mashine ukafanyia hata dinning au kama huna muda wa kusubiri, hata ukiwa bafuni unaweza kwenda na mashine yako na sidhani huko unahitaji apron tena!!
Ngoja niishie hapa nafikiri wataalamu wa mapishi na maandalizi watatujuza zaidi.Nachotaka kusema hapa tuache kukariri na kwenda kwa kanuni daily.Nihayo tu wakuu