Kwa wakubwa tu!!!kupika sio lazima uvae apron!!!!

Kwa wakubwa tu!!!kupika sio lazima uvae apron!!!!

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,371
Habari zenu wana jf,naamini mpaka unasoma post hii basi upo fine.

Leo nimekuja na haka katopic,kuhusu kuvaa apron wakati wa mapishi.Minafikiri mapishi sio apron ni issue ya mpishi mwenyewe.Nasio lazima kila kitu kipikiwe jikoni,siku unaweza amua ku make barbeque hapo utahitajika kupika huku umesimama tena nje.Na hiyo kitu unaweza ipika ukiwa una suit eti! na msosi ukawa poa tu.Au unaweza ukawa mbunifu zaidi mayai ukachemsha kwenye kettle badala ya sufuria cha msingi si yaive tu au?Na kama umechoka vya kukaanga deep frying unaweza kufanya steaming uzuri wa steamer unaweza kubeba mashine ukafanyia hata dinning au kama huna muda wa kusubiri, hata ukiwa bafuni unaweza kwenda na mashine yako na sidhani huko unahitaji apron tena!!

Ngoja niishie hapa nafikiri wataalamu wa mapishi na maandalizi watatujuza zaidi.Nachotaka kusema hapa tuache kukariri na kwenda kwa kanuni daily.Nihayo tu wakuu
 
makubwa haya. tatizo wapishi wenyewe sku hzi wazembe na hawajui mapishi.....
 
Khaas hiyo heading imeni stua kidigo..Afadhali hata nilichokuwa nawaza sivyo..Au ndivyo mmmhh
 
na wale wanaoachia wasaidizi wapike je?
 
Unaongelea mapishi kama mapishi au kuna kitu kimefichama ndani ya topick yako? Kwa kweli nimeshindwa kuelewa, sijui ni kwa sababu mimi ni mjinga sana au mchunguzi sana au nini hiki? Ebu weka mambo wazi kiongozi
 
Apron ina lengo la kuhakikisha usafi wa chakula unachopika. Hizo nguo zako zingine unazoweza kwenda nazo hata toilet, disco, ukapanda nazo kwenye daladala mkiwa mmebanana na watu wengine siyo health, unless una uhakika kuwa ni safi
 
Yaani hapa nimeigundua weakness yangu, jamaa anazungumzia mapishi kama mapishi lakini mimi nafikiria mambo mengine kabisa tena ya uzazi:mimba:.
 
Ezan ,wala sio weakness, huyu jamaa ni kama amekosea kupost, topic hii ya mapishi ina nafasi yake sio hapa. Mimi nilifikiri kuna fumbo fulani. Eti kwa wakubwa????
 
Hii inaitwa picha ya lugha. Kwa tulioelewa,tumefurahi matumizi yako ya lugha
 
Hahaha...MZEE MWANAKIJIJI Remixxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx...
I agree wit u mkubwa. Mapishi si lazima Apron.
Halafu labda niongezee,
Mapishi sio lazima kufuata COOKBOOK, hata hao wa cookbooks walijariujaribu ndo wakapata hizo recipe!lol
I love ur thinking n presentation.
 
Na yale mapishi ya ma shaba nayo inakuwaje? huvai apron kweli?
 
Na yale mapishi ya ma shaba nayo inakuwaje? huvai apron kweli?
Dinnah, msome tena jamaa utamwelewa anaongelea apron ipi na mapishi yapi!
PS: Kama ulipata D ama F ya kiswahili o-level, do not try to re-read the thread, utaingia chaka zaidi!lol
 
Unaongelea mapishi kama mapishi au kuna kitu kimefichama ndani ya topick:violin: yako? Kwa kweli nimeshindwa kuelewa, sijui ni kwa sababu mimi ni mjinga sana au mchunguzi sana au nini hiki? Ebu weka mambo wazi kiongozi.






HAPA MTU MZIMA ANAZUNGUMUZIA MAMBO YA "KUJIGIJIGI....!!!":lock1:
 
Unaongelea mapishi kama mapishi au kuna kitu kimefichama ndani ya topick:violin:yako? Kwa kweli nimeshindwa kuelewa, sijui ni kwa sababu mimi ni mjinga sana au mchunguzi sana au nini hiki? Ebu weka mambo wazi kiongozi.






HAPA MTU MZIMA ANAZUNGUMUZIA MAMBO YA "KUJIGIJIGI....!!!":lock1:
Shagi unataka tuamshe watoto?
 
Back
Top Bottom