Unakumbuka dereva alivokuwa anawapanga abiria hasa akitaka kuwasogeza mbele?
Nyie mnaongelea nini??Kichwa kinaniuma sitaki kufikiria!

Uliwahi kupanda chai maharage?
Nyie mnaongelea nini??Kichwa kinaniuma sitaki kufikiria!
Yaani we acha tu,
"MAMA SOGEA HIVI KIDOGO, HALAFU SHIKILIA HAPA . . . ."
Nilikua mdogo...nasikiaga story tu!Ndo imefanyaje?
MAKUBWA!Sawa baba...haya na wewe shikilia hapa ili usianguke!Kwa mikono miwili tafadhali!

Njoo chumbani na khanga moja nikuelekeze
MAKUBWA!Sawa baba...haya na wewe shikilia hapa ili usianguke!Kwa mikono miwili tafadhali!
Ndo ujue umepata binti na sio jimama?h a ha ha ha ha
Wewe kweli anda 18
Mmmh khanga tayari kifuani hubby ila chumbani nataka unipeleke bana!
MAKUBWA!Sawa baba...haya na wewe shikilia hapa ili usianguke!Kwa mikono miwili tafadhali!
Umeanza kuelewa sasa??
We acha tu, mama mjamzito akipanda humo utamuonea huruma pale dereva akichekecha
h a ha ha ha ha
Wewe kweli anda 18
Hujasema wakati wa kulipaki mwisho wa safaria halafu liende service na kuanza safari tena
Ila isiwe ya kwenda loliondo:lol: