Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Usiogope bana, chai maharage ndivyo yalivyo
Usiposhikilia BOMBA KUU na kukalia kiti vizuri gari linaweza kukumwaga sweetie

!Kwani hiyo barabara ina makorongo?
 
Hapana simtetei
Kataka mwenyewe kukalia siti ya watu wazima. so lazima alipe nauli kubwa
Mi wasiwasi wangu ni uwezo wake wa kustahimili mneso wa gari
Nadhani yapaswa apakatwe

Isiwe tabu...ngoja nisimame hiyo siti apewe mtu mzima!
 
Brake system yenyewe ni pneumatic hivyo unakanyaga polepole ili usiwashtue abiria na gari linalia bruuuuuuuuuuuu pschaaaaaaaa bruuuuuuuuuuuuuuu pschaaaaaaaaaaaaa

:juggle:
Sasa huo mlio ni wa TATA za kihindi
Ila mlio wake ni naupenda sana, na nikisha bandika gia namba 2 baaaasi, namalizia mafuta yote kwa gia hiyo halafu nabofya ile taa ya kati ili nipishwe njia, yaani sichomoi gia mpaka nahakikisha rejeta inaisha maji
 
Hii furahiday imeanza kwa manjonjo haya nani anautalamu wa magari aina ya bedford?
 
!Kwani hiyo barabara ina makorongo?

Bora ingekuwa na korongo, ni matuta ya barabarani haya, full mneso
Halafu gari lenyewe halina belti
Weka miguu yako sawa sawia, usifumbe macho hakuna vumbi barabarani
 
:juggle:
Sasa huo mlio ni wa TATA za kihindi
Ila mlio wake ni naupenda sana, na nikisha bandika gia namba 2 baaaasi, namalizia mafuta yote kwa gia hiyo halafu nabofya ile taa ya kati ili nipishwe njia, yaani sichomoi gia mpaka nahakikisha rejeta inaisha maji

Tena unahakikisha power stearing fluid ipo mahali yake husumbuki kukata kona ya ghafla
 
Isiwe tabu...ngoja nisimame hiyo siti apewe mtu mzima!

wee kaa tu, akija mtu mzima atakupakata
Ukisimama ndo kabisaaaaa, unaweza ukaanza kulia kabisa coz nikiweka gia namba 3 miguu yako itaanza ku-vaibreti, utakaa ktk kiti mwenyewe
 
Bora ingekuwa na korongo, ni matuta ya barabarani haya, full mneso
Halafu gari lenyewe halina belti
Weka miguu yako sawa sawia, usifumbe macho hakuna vumbi barabarani

Gosh!!!
 
Back
Top Bottom