Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Hujawahi kuichunguza barabara, huwa wanasema ina makorongo
Duh!Embu tuishie hapa Muhos!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kuichunguza barabara, huwa wanasema ina makorongo
umeshaanza kuharibu utamu weye sisi tunazungumzia magari a.k.a vehicle
Nimependa tafsida yako, inaonesha ukomavu wako katika lugha ya kiswahili.Habari ya mchana,asubuhi etc wana jf.Naamini Mola anaendelea kuwapa uhai japo wakati mwingine mnasahau kumshukuru na kutubu kwa kuvunja amri ya 7 kwa kujitambulilisha jukwaani kwa majina yasiyokuwemo kwenye vyeti vyenu vya kuzaliwa.
Tuachanane na hayo,hoja yangu leo ni kuhusu milio ya magari na wasafiri.Yapo magari aina nyingi kama scania,fiat,Nissan march,Toyota hilux,Suzuki escudo,Nissan murrano,Leyland na mengine mengi.Ishu inakuja wakati wa safari kuna magari yanamlio mkubwa tangu mwanzo wa safari hadi mwisho,mengine hata kama hayana mzigo mkubwa yanalia kama yana tani 200 za sukari,mengine yanalia kama vile yapo na speed 160km/hr kumbe unaweza kukuta ni speed 20 tu.Mengine yanaunguruma kama simba,mengine yanatoa sauti kama vile gear imeingizwa bila kukanjangwa clutch,mengine mlio kama mafla zimepasuka,mengine kama vile yanatembelea rim.
Namengine yenyewe ni kimya kimya tu liwe na mzigo ,kona kali,mteremko mkali lenyewe ni kimya tu.Na mengine likiwashwa tu basi wapangaji woooote watajua baba,mama,dada au kaka flani kaanza safari
Swali ni hivi,je sauti na mlio wa gari au ukimya wa gari wakati wa safari unauhusiano wowote katika kumpa hamasa au kumwondolea raha msafiri?
Nawasililisha hoja kwa yeyote atakaye husika.
Utaipenda safari yetu, sipiyuu shusha hapo kwa Nyerere
Hii furahiday imeanza kwa manjonjo haya nani anautalamu wa magari aina ya bedford?
Hii furahiday imeanza kwa manjonjo haya nani anautalamu wa magari aina ya bedford?
wee kaa tu, akija mtu mzima atakupakata
Ukisimama ndo kabisaaaaa, unaweza ukaanza kulia kabisa coz nikiweka gia namba 3 miguu yako itaanza ku-vaibreti, utakaa ktk kiti mwenyewe
Nimeshaona siyo size yangu...ngoja nichape mwendo!
Duh!Embu tuishie hapa Muhos!
Endesha, endesha baba sipiyuu atakunyanganya abiria!
Yaani utembee kwa miguu?
Kwa nyerere kuna Traffic, pale nashusha kama ni msaada tu, hakuna stendi pale
Mwambie avumilie tu, ntampeleka na kumrushisha fasta
Mwambie akalie siti ya mbele
Tena unahakikisha power stearing fluid ipo mahali yake husumbuki kukata kona ya ghafla
Sikujua aisee...naona hali inazidi kwenda mrama..from X to XXX!Pole bana, si umeingia senema ya wakubwa? Wewe mtoto mtundu sana!!!!
Unajua abiria wakichoka unawapa juisi na pipi wanapata nguvu safari inaendelea ila usisahau kuwawashia video hasa wale wa kwenye mabasi
Charger hilo bedford ndio zuri kwangu maana mie ni mkulima mazao lazima nibebe na gari kama hilo maana linamudu mizigo mizito, habari ya vouge and similar to that potelea mbali.Lily ya bedford utayaweza?dereva lazima awe na sura mbaya hilo ni moja ,kukata kona lazima uwe umeshiba na dereva kifua wazi sababu ya joto humo ndani.Na kupark kwake nikwenye mteremko tu kwani mengiyao ni yakusukuma hayapigi start.Ila kwa mzigo tu utalipenda
Haswaaaa!
Aisee halafu naona mafuta ya breki yameisha
Hebu lete hiyo tuilainishe hii spindo kuu
Abiria Lizzy naomba utuvumilie tunapaka vilainisho vya spindo halafu tutakwambia urudi ktk kiti tuendelee na sarafi
Haswaaaa!