Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Sikujua aisee...naona hali inazidi kwenda mrama..from X to XXX!

Mbona umejitahidi sana bana, si unaona watoto wenzio wameamua kuwa ma invizibo? Karibu tunafika. Sipiyuu mpe mama sapoti
 
Mi sina makuu napenda kuendesha GX mlio kwa mbali unaweza dhani gari imesimama kumbe speed 180. ila ikitoboka eksozi utakimbia mwenyewe
 
Aisee halafu naona mafuta ya breki yameisha
Hebu lete hiyo tuilainishe hii spindo kuu
Abiria Lizzy naomba utuvumilie tunapaka vilainisho vya spindo halafu tutakwambia urudi ktk kiti tuendelee na sarafi

Kabisa mkuu tusafishe na air cleaner na kubadilisha oil na fuel filter mambo yatakuwa mteremko kabisa
 
Hiyo huwezi mama, utachoka sana, jua lote hili
Miguu yenyewe ya kutembea umbali mrefu huna
Hebu panda basi lifti hii ya TATA
SI unaona gia yake ilivyo, saizi kabisa halafu ni automatic
Nikibandika DRIVE tu basi, nakufikisha fasta,
Miguu yako inabaki ku-relax juu kwa juu
Lifti hua sipandi mie!Ila mmenichosha kweli leo!
 
Sijui niripoti abyuzi!?Nataka mhamishiwe kule kwa wakubwa ili nishuhudie mwisho wa hiyo safari yenu!

Huyu abiria vipi???
Sasa ukiita traffic unamkomoa nani???
Hata safari utakuwa hufiki
Haya basi tumeshamaliza kupaka grisi
ingia ndani tuendelee na safari
 
Mambo ya kudandia magari haya kha! nilipanda gari moja dereva kila saa anauliza ,nakufanyajeee, nakufanyajeee *30 lol jasho lilinitoka niliposhindwa kujibu dereva kanambia sema unanit..... heeeeeeee! mbona nilishuka kituo sio changu. Nikasema sipandi tena ki ice

hahahaa, ukome kupanda vihiace. Kwani A town siku hizi hakuna costa za kwenda mbauda au ungalelo?
 
Sijui niripoti abyuzi!?Nataka mhamishiwe kule kwa wakubwa ili nishuhudie mwisho wa hiyo safari yenu!

Safari yenu tena mama, si na wewe umo kwenye safari tangu mwanzo? Kama viboko tunapata wote!!! lol
 
Charger hilo bedford ndio zuri kwangu maana mie ni mkulima mazao lazima nibebe na gari kama hilo maana linamudu mizigo mizito, habari ya vouge and similar to that potelea mbali.

Achana na magari ya shoo kwenye intanet
Njoo nikuonyeshe BMW X6 na AUDI uone zilivyo na gia safi saizi yako
Yaani ina-detect yenyewe kama unataka kupiga kona, au kukanyaga breki
 
Angalia tusije tukapaki kuchimba dawa halafu gari ikazima ikawa mambo ya kupiga HENDERI ili iwake tena
 
Mi sina makuu napenda kuendesha GX mlio kwa mbali unaweza dhani gari imesimama kumbe speed 180. ila ikitoboka eksozi utakimbia mwenyewe

Gaga, wewe inakufaa MSOSOLISO
ile migari ya mikaa enzi zile unawasha kwa kuzungusha nondo mbele ya gari
 
Huyu abiria vipi???
Sasa ukiita traffic unamkomoa nani???
Hata safari utakuwa hufiki
Haya basi tumeshamaliza kupaka grisi
ingia ndani tuendelee na safari

Nawakomoa madereva msio na leseni!Kazi kupiga zigzag tu...hamstahili kua barabarani!
 
Sipiyu yuko busy huku Muhos ananiharibu macho!

Haya mana, stendi ndio hii
Au unaonaje nikikuzungusha kidogo hadi kariakoo tukamchukue Kimbweka halafu nakurudisha fasta hadi homu kwako????
Wala usihofu kuchoka, safari hii nitakikunjua kiti utalala kabisaaaaaa kiasi kwamba mimi dereva ndio ntakuwa nayumba-yumba na steringi yangu, wewe uko tuliiiiiii umelalia ubavu kwenye kiti
 
Sipiyu hayo magari yatanitesa bure mie mkulima mazao nitapakia kwenye BMW au Benz kweli?
 
Back
Top Bottom