Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Si unaona konda alivyo mahiri kuliko dereva eee?
Uhhaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaona konda alivyo mahiri kuliko dereva eee?
Yaani kama ni pepa, basi ilikuwa mtoto wa darasa la 3 kapewa pepa la faino ekzam la fom siksi tena advansedi masematiksi
Usiogope bana, chai maharage ndivyo yalivyo
Usiposhikilia BOMBA KUU na kukalia kiti vizuri gari linaweza kukumwaga sweetie
hata mimi sielewi, hivi wewe gari yako ni floor gear au?
Hapana simtetei
Kataka mwenyewe kukalia siti ya watu wazima. so lazima alipe nauli kubwa
Mi wasiwasi wangu ni uwezo wake wa kustahimili mneso wa gari
Nadhani yapaswa apakatwe
Sikujua ni mambo ya wakubwa!Nimekoma kua mchunguzi!
Brake system yenyewe ni pneumatic hivyo unakanyaga polepole ili usiwashtue abiria na gari linalia bruuuuuuuuuuuu pschaaaaaaaa bruuuuuuuuuuuuuuu pschaaaaaaaaaaaaa
Mwenye gari nani sasa?
Kumbe hata hujui kutofautisha mpiga debe na konda??
Uhhaaa!
Si unaona walivoepusha msongamano?
Unanikumbusha mdada fulani aliona kondomu akauliza hii big G mbona kubwa hivi
!Kwani hiyo barabara ina makorongo?
Utaipenda safari yetu, sipiyuu shusha hapo kwa Nyerere
:juggle:
Sasa huo mlio ni wa TATA za kihindi
Ila mlio wake ni naupenda sana, na nikisha bandika gia namba 2 baaaasi, namalizia mafuta yote kwa gia hiyo halafu nabofya ile taa ya kati ili nipishwe njia, yaani sichomoi gia mpaka nahakikisha rejeta inaisha maji
!Kwani hiyo barabara ina makorongo?
Isiwe tabu...ngoja nisimame hiyo siti apewe mtu mzima!
Bora ingekuwa na korongo, ni matuta ya barabarani haya, full mneso
Halafu gari lenyewe halina belti
Weka miguu yako sawa sawia, usifumbe macho hakuna vumbi barabarani
Hii furahiday imeanza kwa manjonjo haya nani anautalamu wa magari aina ya bedford?