Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
kuna siku niliazima kagari (hakakuwa kangu), kabla hata sijaweka key kwenye switch kagari kakaanza kuleta milio ya ajabu ajabu. nikajua ni kagari ka china tu (wizi mtupu) , lakini kwavile ni kagari ka kuazima nikakapeleka hivyo hivyo kichina china.
Wakati huo niko dar du! Nikajua haka ka spacio nakanyaga fulllllllllllllllllll. Nakalia moto mara aaaaaaaaaaagggggggggggrrrrrrrrr nikamwambia abiria naenda kununua chipsi, kimooooooooooja