klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
aaah! huyu michelle nimempa lifti sku moja sasa anataka kugeuza gari langu taxi , kila siku anataka nimfikishe "uwanja wa fisi"Kumbe una gari la wizi, lol! mimi hata sitaki lifti yako....:lol:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaah! huyu michelle nimempa lifti sku moja sasa anataka kugeuza gari langu taxi , kila siku anataka nimfikishe "uwanja wa fisi"Kumbe una gari la wizi, lol! mimi hata sitaki lifti yako....:lol:
naomba u report ndo utakapojua unayemwibia kila siku ana hadhi gani hapa???? go ahead and report....:smash:michelle utafkuza abiria wangu. nitakuripoti abyuzi ukiendelea
huyu muache hata hela ya kunyoa ndevu nalipa mimi,driving school,license na gari ni vyangu na mume wangu...hana hata mlio..:washing:Kumbe una gari la wizi, lol! mimi hata sitaki lifti yako....:lol:
khaaa! lizzy akiona hii lazima anipige kibutinaomba u report ndo utakapojua unayemwibia kila siku ana hadhi gani hapa???? go ahead and report....:smash:
huyu muache hata hela ya kunyoa ndevu nalipa mimi,driving school,license na gari ni vyangu na mume wangu...hana hata mlio..:washing:
naomba u report ndo utakapojua unayemwibia kila siku ana hadhi gani hapa???? go ahead and report....:smash:
huyu muache hata hela ya kunyoa ndevu nalipa mimi,driving school,license na gari ni vyangu na mume wangu...hana hata mlio..:washing:
kuna siku niliazima kagari (hakakuwa kangu), kabla hata sijaweka key kwenye switch kagari kakaanza kuleta milio ya ajabu ajabu. nikajua ni kagari ka china tu (wizi mtupu) , lakini kwavile ni kagari ka kuazima nikakapeleka hivyo hivyo kichina china.
Mmhhh
my dear mie napenda mkokoteni..
Movement yake ni kwa staji na step za mtu ..
haitumii petrol,disel, mogas, avgas au mafuta ya taa.
is not made in japan or german..
kwa hiyo sio artificial..
I love it coz is hand made
original from TZ ..
Sauti yake ni minimum..
Hau hitaji ku do service every six mnth..
lifetime insurance..
duhh ngoja ninywe maji ..
khaaa! lizzy akiona hii lazima anipige kibuti
kloro kuna nini hapa?
Namtafuta SHAROBARO klorokwin alikuja kwangu kuazima gari
msituharibie jukwaa tafadhali. Ngoja nirudi kiukweli
Nina magari matatu LYELAND DAF, SCANIA V8, SCANIA R730Ulianzaje kumwazima gari lako?
Nimeambiwa Klorokwin alipoenda kwa babu loliondo baada ya kupewa kikombe na babu anywe dawa akamwambia Babu anasubiri mrija kwanza
kEREN NIMEAMBIWA HUWA UNATUMIA TOYOUchoyo tena???!!....sasa kama sina nitampa nini!!! Mimi huwa natembea tu....lol!
Nina magari matatu LYELAND DAF, SCANIA V8, SCANIA R730
hIVI MLIO WA TOYO UKOJE???Alifikiri ni juisi ya miwa, akawa anashangaa ilivyo chachu . . . .