donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Habari wakuu,
Samahani naomba kujuzwa kuhusu lifuatalo. Kuna gari nimeiona nimependezwa nayo kutoka kwenye site ya trade car view.
Sasa nimeona hapo total cost ni kama inavoonesha hapo kwa screenshot. Sasa je, kodi itanigharimu sh ngapi wakuu? Sababu nafahamu kuna mambo ya import duty ila sijafahamu wanacharge kwa model year au according to the price uliyonunulia. Napia napenda kufahamu whole process baada ya kuselect gari kuhusu payment inakuaje maana nimeona kuna mambo ya proforma invoice. Na je nitajuaje kama jamaa sio,fraud? Or nikalipia na gari lisifike au likaja na quality tofauti na jinsi walivyoainisha? Naomba msaada wenu wakuu. Natamguliza shukrani za dhati
Sent using Jamii Forums mobile app