Rachelo
Member
- May 26, 2022
- 9
- 7
Kitu Cha msingi sn hiki ndg,,kwahyo gari inayo range kwnye 12 ml inatakiwa cif yake iwe ngapi? Hii itasaidia watu kucheza vzr na budgetMkuu,gari ya CIF $7,000 hizo ni 15,000,000. Sasa kodi na mambo yote inakua tena 95-110% ya gharama ya CIF. So kwa gari hiyo andaa Tsh 30,000,000/-! Ukiingia kichwa kichwa ukahisi hizo dola ni ndogo,unaweza kushindwa likaishia kupigwa mnada. Ingia kwenye TRA Motor Vehicle Valuation Calculator,ambayo iko kwenye mtandao.
Gari la million Tsh 20,000,000 mara nyingi CIF huwa kati ya $3,500-4,500 kwa uzoefu.