Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
hiyo 40 ni nafuu maana Benki ilikuwa 50 inaweza kuwa hata imeshapanda.Kweli kabisa hasa beforward wazuri sn wana ofice zao pia tanzania so malipo unaweza kufanya kupitia ofice yao ya tanzania ila wanaongeza $40 za ku process TT ili hela kuituma japan wao ila unakuwa safe
Sent using Jamii Forums mobile app