Kwa wakuu ambao mmewahi kununua magari kwa kuimport toka nje.....!!!

Kwa uzoefu wa kawaida kabisa kodi pamoja na gharama za ushuru wa bandari,mawakala wa kutoa mizigo,basi hiyo CIF Cost lazima angalau 95% hadi 110% kwa uzoefu wa kawaida,ila siyo pungufu ya 90%.
 
Yaani gari ya CIF USD elfu7 hadi kuimiliki ukishalipa kila kitu lazima ufike 20/-M na ushee.
Mkuu,gari ya CIF $7,000 hizo ni 15,000,000. Sasa kodi na mambo yote inakua tena 95-110% ya gharama ya CIF. So kwa gari hiyo andaa Tsh 30,000,000/-! Ukiingia kichwa kichwa ukahisi hizo dola ni ndogo,unaweza kushindwa likaishia kupigwa mnada. Ingia kwenye TRA Motor Vehicle Valuation Calculator,ambayo iko kwenye mtandao.
Gari la million Tsh 20,000,000 mara nyingi CIF huwa kati ya $3,500-4,500 kwa uzoefu.
 
Mkuu ushuru utazidi hapo maana kwa calculator ya tra cif ni $4819 sasa km ivoice itaonyesha cif 7300 tra watachukulia cif ya invoice km base amount kufanya calculation so ushuru utakuwa juu ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni muhimu watu kuijua, tra calculator inaonyesha cif $4819 while actual cif invoice ni $7300, lazima mzigo uwe juu sana, huo ushuru utakuwa juu sana zaidi ya inavyoonyeshwa hapo.
 
Hii ni muhimu watu kuijua, tra calculator inaonyesha cif $4819 while actual cif invoice ni $7300, lazima mzigo uwe juu sana, huo ushuru utakuwa juu sana zaidi ya inavyoonyeshwa hapo.
Na kawaida wao tra cif ya kwao ikiwa ndogo kuliko cif ya invoice wanatumia value ya invoice ya invoice ikiwa chini wanatumia ya kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…