Kwa wakuu ambao mmewahi kununua magari kwa kuimport toka nje.....!!!

Kitu Cha msingi sn hiki ndg,,kwahyo gari inayo range kwnye 12 ml inatakiwa cif yake iwe ngapi? Hii itasaidia watu kucheza vzr na budget
 
Achana na watu wa Dar wanawatapeli watu kibao. Walishamzunguka mshikaji wakampiga risasi sina hamu nao.
Watu wamevurugwa na maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani anakudhulumu halafu unamdai anakasirika tena anakuona adui anakushambulia. Yaani ukorofi tu. Aisee watoto waliolelewa kwa kupewa vitu huwa wanakuwa na mambo ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…