Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 781
- 1,246
Kuna watu wanalalamika vitu kupata bei yaani inflation kwa mana kwamba wanaomba kuwe na kushuka kwa bei ya vitu deflation.
Sasa IPO hivi when deflation is high in a modern economy like ours it increases the real value of debts and may aggravate the recession and lead to a deflation spiral ambapo wawekezaji wote watakimbia na ajira zitatoweka hivyo serikali itakosa mapato yake maana Kodi zitapungua na vifo au matatizo ya watu yatakuwa mengi yaani vichaa watakuwa wengi hata ukiweka bia yako mezani ukienda toilet tu huikuti.
Msiombee bei ya vitu ishuke maana ni disaster. Angalau kidogo watakaoenjoy kwa kushuka kwa bei ni fixed income earners kama wafanyakazi wa serikali lakini wafanyabiashara watakimbia au kufunga maduka au investments zao. Msiombee itokee!!