Kwa wale ambao hatuna wapenzi na leo hatutoki huu uzi ni kwa ajili yetu tukutane hapa.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Happy easter wanabodi naona mashamlashamla kila kona hadi kwa wapenzi pia. Kwa wale wenye bebz zao leo wanatusumbua sana sio kwa daladala, sokoni ni kero tupu simu znapigwa jaman.

Kwa wale ambao hatuna wapenzi na hatutoki leo tufarijiane hapa.
 
Nyeto njema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…