Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Happy easter wanabodi naona mashamlashamla kila kona hadi kwa wapenzi pia. Kwa wale wenye bebz zao leo wanatusumbua sana sio kwa daladala, sokoni ni kero tupu simu znapigwa jaman.
Kwa wale ambao hatuna wapenzi na hatutoki leo tufarijiane hapa.
Kwa wale ambao hatuna wapenzi na hatutoki leo tufarijiane hapa.