Kwa wale ambao hawajaoa hii ni yenu

Kwa wale ambao hawajaoa hii ni yenu

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto na kazi nyingine mbaya mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii inatokea kwenye familia nyingi sana
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto na kazi nyingine mbaya mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii inatokea kwenye familia nyingi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii nayo kali nachojua hiyo huwa inayokea km uchumi wa muhusika ni mbovu ndio utasikia nenda kapasue kuni huko nje

Ila kiukweli ni heri mke wa hivyo kuliko mzuri mzuri anaetamaniwa hadi na baba mkwe wake
 
Kufanya kazi zote kwa mwanamke ni lazima hasa mambo ya jikoni bila kujali ni mzuri wa sura au mbaya wa sura
Mi sijaoa ila nitakaekuja kumuoa Mungu akipenda afanye kazi zote za jikoni bila kujali yuko na mimi au yuko na mama mkwe
Mke mwema ni yule anayeamka kabla ya wengine kuwatayarishia wengine
 
vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto na kazi nyingine mbaya mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii inatokea kwenye familia nyingi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Wife wangu mkalii...yamemkuta wife wa ndugu yangu,,,yan hata ile kukaa meza moja hakaagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakaa na mabeki tatu tu jikon
Sio vizuri jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Endapo kama mwanaume ukiwa nauchumi imara hata mkeo hayawezi kumpata hayo hata kama mbaya kiasi gani
Sasa ukose yote ndiyo hayo mke yatamkuta, hata yeye mme akiwa ukweni wakisema mchango hat elfu 10 hakuna lazima akawasaidiye kina mama kusonga ugali kwenye mipipa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom