Kwa wale ambao hawajaoa hii ni yenu

Kwa wale ambao hawajaoa hii ni yenu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Haaahahhaha

Nimechekaaaa jamani
 
Sasa ukose yote ndiyo hayo mke yatamkuta, hata yeye mme akiwa ukweni wakisema mchango hat elfu 10 hakuna lazima akawasaidiye kina mama kusonga ugali kwenye mipipa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unanivunja huku mwenzio
 
Sasa ukose yote ndiyo hayo mke yatamkuta, hata yeye mme akiwa ukweni wakisema mchango hat elfu 10 hakuna lazima akawasaidiye kina mama kusonga ugali kwenye mipipa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio hivyo dunia inavyokwenda kwasasa hata ukiwa mkubwa wafamilia alafu ukawa huna kitu utapata heshima yakinafki ila sio kwamba watakuheshimu kutoka ndani yamioyo yao
 
Akasonge tu sasa mie nitafanyaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha inauma lkn

Ni kuwa humble tu sio ukipewa kiti nawe mkamwana unakunja nne kwa nyodo na kujilegeza ukifika ukweni piga kazi jichanganye na wenzio sio kujiona veeery special ukweli haipendezi

Mtoa mada siku shemeji yenu huyo akibarikiwa chochote katika maisha haya mtaona aibu kwa mnachomfanyia
 
vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto na kazi nyingine mbaya mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii inatokea kwenye familia nyingi sana
Uzuri sio kitu. Pesa ndio kila kitu, ukiwa huna hela wewe na mkeo wote mtapewa kazi za ajabu ajabu hata awe mzuri.
 
Hahahaha inauma lkn

Ni kuwa humble tu sio ukipewa kiti nawe mkamwana unakunja nne kwa nyodo na kujilegeza ukifika ukweni piga kazi jichanganye na wenzio sio kujiona veeery special ukweli haipendezi

Mtoa mada siku shemeji yenu huyo akibarikiwa chochote katika maisha haya mtaona aibu kwa mnachomfanyia
Uko sahihi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hii tabia ni maarufu sana kule Kaskazini.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kweli kabisaaa
 
Hahahaha inauma lkn

Ni kuwa humble tu sio ukipewa kiti nawe mkamwana unakunja nne kwa nyodo na kujilegeza ukifika ukweni piga kazi jichanganye na wenzio sio kujiona veeery special ukweli haipendezi

Mtoa mada siku shemeji yenu huyo akibarikiwa chochote katika maisha haya mtaona aibu kwa mnachomfanyia
Sio kukaa tunafanya kazi lakini wenyeji wanavyo kuchukulia inakuwa tofauti na yule mwingine, kwenye familia kuna mambo
 
Wenzako wapo wanapanga mipango wewe umeagizwa kuhemea nabado unawaza kuwala ganji
Hahahaaa baada ya kutoka hapo umeshakusanya kusanya ya nauli na mkeo [emoji28] [emoji28] [emoji28] wakianza story wakwanza kuchangia [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom