Kwa wale ambao hawajaoa hii ni yenu

Kwa wale ambao hawajaoa hii ni yenu

Hii nayo kali nachojua hiyo huwa inayokea km uchumi wa muhusika ni mbovu ndio utasikia nenda kapasue kuni huko nje

Ila kiukweli ni heri mke wa hivyo kuliko mzuri mzuri anaetamaniwa hadi na baba mkwe wake
Haha baba wakwe wakiwa na wazifa wanapita nae
 
Kufanya kazi zote kwa mwanamke ni lazima hasa mambo ya jikoni bila kujali ni mzuri wa sura au mbaya wa sura
Mi sijaoa ila nitakaekuja kumuoa Mungu akipenda afanye kazi zote za jikoni bila kujali yuko na mimi au yuko na mama mkwe
Mke mwema ni yule anayeamka kabla ya wengine kuwatayarishia wengine
Umenena
 
Haha baba wakwe wakiwa na wazifa wanapita nae
Unakuwa umeoa laana tu unafikiri baba akipita nae rohoni mwake si anakuwa na conflict na mwanae wanawake wazuri wana mengi nyie sikieni tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi tabia zipo sana ila nawashangaa wanaobisha
 
Hahahaha inauma lkn

Ni kuwa humble tu sio ukipewa kiti nawe mkamwana unakunja nne kwa nyodo na kujilegeza ukifika ukweni piga kazi jichanganye na wenzio sio kujiona veeery special ukweli haipendezi

Mtoa mada siku shemeji yenu huyo akibarikiwa chochote katika maisha haya mtaona aibu kwa mnachomfanyia
Hajafanyiwa..mwenyew tu kajitenga
 
duh mzeeiya umeona mbali sana , yaani hio kitu ipo sana ni sawa na uwe graduate halafu uwe huna kazi then upo kwa mjomba wako utakuwa yaya au babysitter...na kutumwa dukani..na kwenda kutupa takataka jalalani
Zote mbovu mbovu unapewa wew
 
Tumia kiswahili unamtilia mlm wako aibuu
Hahaha my wife wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii lugha ya kizungu nomaa sana
 
Huo ubaguzi uanze wewe kuupunguza na wao watafuata kesho giza ndugu zanguni
Sie familia yetu utaipenda wanaolewa kwetu hujichanganya humo humo huwezi mtofautisha na familia yetu mkuu mpaka uulize mwenyewe, mf watoto wa ndugu zangu ke/me, walio oa /kuolewa ukiwakuta hapo ni burudani tu
 
Sie familia yetu utaipenda wanaolewa kwetu hujichanganya humo humo huwezi mtofautisha na familia yetu mkuu mpaka uulize mwenyewe, mf watoto wa ndugu zangu ke/me, walio oa /kuolewa ukiwakuta hapo ni burudani tu
Hapo fresh msiwatenge sura mbovu wala uchumi mbovu kesho ni giza
 
Back
Top Bottom