swank
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 748
- 1,041
Haaahahhaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nimechekaaaa jamani