Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Wife wangu mkalii...yamemkuta wife wa ndugu yangu,,,yan hata ile kukaa meza moja hakaagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakaa na mabeki tatu tu jikonhahahahaaaaa,mzee baba yamekukuta nini kwa my wife wako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wife wangu mkalii...yamemkuta wife wa ndugu yangu,,,yan hata ile kukaa meza moja hakaagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakaa na mabeki tatu tu jikon
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto na kazi nyingine mbaya mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inatokea kwenye familia nyingi sana
Mkuu umenena kilicho sahihi kabisa.Endapo kama mwanaume ukiwa nauchumi imara hata mkeo hayawezi kumpata hayo hata kama mbaya kiasi gani
KabisaHuu ni upotoshaji wa waziwazi
Umeona eeeMkuu umenena kilicho sahihi kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto na kazi nyingine mbaya mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inatokea kwenye familia nyingi sana
Sio vizuri jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wife wangu mkalii...yamemkuta wife wa ndugu yangu,,,yan hata ile kukaa meza moja hakaagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakaa na mabeki tatu tu jikon
Sasa ukose yote ndiyo hayo mke yatamkuta, hata yeye mme akiwa ukweni wakisema mchango hat elfu 10 hakuna lazima akawasaidiye kina mama kusonga ugali kwenye mipipa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Endapo kama mwanaume ukiwa nauchumi imara hata mkeo hayawezi kumpata hayo hata kama mbaya kiasi gani