Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Haha baba wakwe wakiwa na wazifa wanapita naeHii nayo kali nachojua hiyo huwa inayokea km uchumi wa muhusika ni mbovu ndio utasikia nenda kapasue kuni huko nje
Ila kiukweli ni heri mke wa hivyo kuliko mzuri mzuri anaetamaniwa hadi na baba mkwe wake
Tumia kiswahili unamtilia mlm wako aibuuhahahahaaaaa,mzee baba yamekukuta nini kwa my wife wako!
UmenenaKufanya kazi zote kwa mwanamke ni lazima hasa mambo ya jikoni bila kujali ni mzuri wa sura au mbaya wa sura
Mi sijaoa ila nitakaekuja kumuoa Mungu akipenda afanye kazi zote za jikoni bila kujali yuko na mimi au yuko na mama mkwe
Mke mwema ni yule anayeamka kabla ya wengine kuwatayarishia wengine
Haha nipo ya 4 mkuu..leo sinywimada za weekend huwa zina harufu ya bia
Unakuwa umeoa laana tu unafikiri baba akipita nae rohoni mwake si anakuwa na conflict na mwanae wanawake wazuri wana mengi nyie sikieni tuHaha baba wakwe wakiwa na wazifa wanapita nae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi tabia zipo sana ila nawashangaa wanaobisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu wewe umewaza mbali, hata mme ukiwa wa hovyo hovyo halafu wenzio wameolewa na wenye nazo na kuoga wanajua baba utatumwa wewe ukweni mpaka basi wenzio wanapewa viti nakukaa na watoto wao wewe unafunga maturubai na kukata kuni [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ndiyo hivyo unaonekana unaleta usiku tuHii tabia ni maarufu sana kule Kaskazini.
Zipo tunajua lkn kwa jinsi ulivyotype ni km unamzomea na kumcheka huyo shemeji yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi tabia zipo sana ila nawashangaa wanaobisha
Hajafanyiwa..mwenyew tu kajitengaHahahaha inauma lkn
Ni kuwa humble tu sio ukipewa kiti nawe mkamwana unakunja nne kwa nyodo na kujilegeza ukifika ukweni piga kazi jichanganye na wenzio sio kujiona veeery special ukweli haipendezi
Mtoa mada siku shemeji yenu huyo akibarikiwa chochote katika maisha haya mtaona aibu kwa mnachomfanyia
Zote mbovu mbovu unapewa wewduh mzeeiya umeona mbali sana , yaani hio kitu ipo sana ni sawa na uwe graduate halafu uwe huna kazi then upo kwa mjomba wako utakuwa yaya au babysitter...na kutumwa dukani..na kwenda kutupa takataka jalalani
Umeona shemela.....Duh ila kweli hata mm nimeshaiona hiyo hali
Sio rahisi lazima kaona hapewi kipaumbele kaamua kujiweka peke yake na wanafamilia wanamtenga hawakai nae karibu na hata kuongea usikute wanaobgea nae km takataka fulani hata ungekuwa wewe ungejitengaHajafanyiwa..mwenyew tu kajitenga
Hahaha my wife wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii lugha ya kizungu nomaa sanaTumia kiswahili unamtilia mlm wako aibuu
Sie familia yetu utaipenda wanaolewa kwetu hujichanganya humo humo huwezi mtofautisha na familia yetu mkuu mpaka uulize mwenyewe, mf watoto wa ndugu zangu ke/me, walio oa /kuolewa ukiwakuta hapo ni burudani tuHuo ubaguzi uanze wewe kuupunguza na wao watafuata kesho giza ndugu zanguni
Absolutely blazaFamilia zinaheshim pesa siyo uzuri.
Halaf hakuna mwanamke mbaya tunatofutina preferences tuu
Hapo fresh msiwatenge sura mbovu wala uchumi mbovu kesho ni gizaSie familia yetu utaipenda wanaolewa kwetu hujichanganya humo humo huwezi mtofautisha na familia yetu mkuu mpaka uulize mwenyewe, mf watoto wa ndugu zangu ke/me, walio oa /kuolewa ukiwakuta hapo ni burudani tu
Ni tabia tu sasa baba mkwe naanza kuzoeana naye vipi.[emoji44] mpaka anitake, kila mtu anaoa anayempenda uzuri wa mtu ni macho yake mhusikaHaha baba wakwe wakiwa na wazifa wanapita nae