[emoji12] [emoji12] [emoji12] ilipanda meli hiyo nasikiaHahaha my wife wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii lugha ya kizungu nomaa sana
zaidi ya nomaaa, mbavu zangu mieeHahaha my wife wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii lugha ya kizungu nomaa sana
Wabishe tu lakini zipo niliwahi shuhudia watu wameoa familia moja wapo 4 hivi watatu wanatengewa chakula chao huyu 1 mmm ananung'unika nje kaachwa na watu wengine[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi tabia zipo sana ila nawashangaa wanaobisha
Unajishuku kama upo tofauti na wengineSio rahisi lazima kaona hapewi kipaumbele kaamua kujiweka peke yake na wanafamilia wanamtenga hawakai nae karibu na hata kuongea usikute wanaobgea nae km takataka fulani hata ungekuwa wewe ungejitenga
Mh haya bwana kazaneniUnajishuku kama upo tofauti na wengine
Sura uchumi watajuana wenyewe huko sie kamleta kwetu basiHapo fresh msiwatenge sura mbovu wala uchumi mbovu kesho ni giza
Uchagani huko kawaida tuWabishe tu lakini zipo niliwahi shuhudia watu wameoa familia moja wapo 4 hivi watatu wanatengewa chakula chao huyu 1 mmm ananung'unika nje kaachwa na watu wengine
Hakuna kupinga ipo , wenye pesa wameenda kununua wenyewe sasa utawambia nini kama si kuwasha moto wakuni hapo!Huku chunguza vizuri, wanawake ambao mabwana zao wanazo pesa ndio huchambua mchele na kukatakata nyama bila kujali uzuri na wale ambao mabwana ni choka mbaya kazi zao ni hizo ulizozitaja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisha unarudi au ........Hii mada safi snaa..ngoja nakojoaa
Asante kwa kunimaanishia kua natakiwa kugandana na manungaembe na mazombiWazuri tayari walisha chukuliwa[emoji133] [emoji133] [emoji133]
Mkuu wewe ndio umeongea ukweli 100%.Endapo kama mwanaume ukiwa nauchumi imara hata mkeo hayawezi kumpata hayo hata kama mbaya kiasi gani
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] umenivunja mbavu zangu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante kwa kunimaanishia kua natakiwa kugandana na manungaembe na mazombi