Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa.
Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri yake.
Huyu Mchungaji anamtishia maisha ya Wachungaji wengine na anaondoa Umoja wa Kanisa.
Sasa hivi naona yuko Australia anahubiri.
Mwaka Mpya naona alikuwa anahubiri Australia.
Nafurahi kwamba anahubiri amani katika ndoa.
Lakini mimi ni celibate.
I don't understand all this fuss watu wanatishiana maisha kuhusu mambo ambayo basically ni ya anasa.
Mambo ya kihuni yamezidi siku hizi.
Why all this preoccupation with sex?
Kama utani. Watu wanafanya mambo ya kijinga,wanapelekwa mahakamani. Hakimu anagonga chini gravel,:"Miaka thelathini jela."
I am opposed to this sex mania.
I am a monk, opposed to unnatural as well as natural sex.