CLEVER SQUIRREL
Senior Member
- Feb 20, 2019
- 121
- 117
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.
mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.
huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID
Sent using Jamii Forums mobile app
Da mkuu jina lako linanikumbusha mbali sana mzee flani kwenye JUMONG alikua na busara sana alafu very loyalhatari sana hali ni mbaya
Duu kumbe ni kweli nyie ndio mnaotuibia pesa zetu eeh,nimewahi pigwa laki moja crdb mwaka juzi kwa style km uliyoisema.saivi ndio nimeshtukaSis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.
mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.
huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID
Sent using Jamii Forums mobile app
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.
mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.
huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID
Sent using Jamii Forums mobile app
Sie tunaotaka kufanya biashara kwa dhati,mnatuzungusha mikopoKama kwangu wateja wetu wanafilisika sana, yani mtu kapewa loan ya 300m,rejesho la pili hoi!
mnadondosha chini ya miguu huku mkijifanya mnahesabu,huo mchezo mmewapiga sana wastaafu halafu we utakuwa NMB au finca.Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.
mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.
huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID
Sent using Jamii Forums mobile app
You are a professional gossiper not professional banker. How can a professional banker ask his collegues to discuss office matters on social media like jf? You must be kidding!
Wapi huko mkuu?Ni aibu kubwa kwa professional banker kuchomoa pesa ya mteja, wengi wameingia hatiani na kupoteza ajira kwa tamaa za pesa ndogo ndogo "na wiki iliopita tumetoka kumuumbua mwingine" KAZI NJEMA
Everything under the sky has got limits my friends! Can you bring your 4 walls closed door important matters in public just because social media allows you to share information?In the modern world such rules are obsolete, you get information anywhere possible,infact a professional banker must be a number 1 gossiper!
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Everything under the sky has got limits my friends! Can you bring your 4 walls closed door important matters in public just because social media allows you to share information?
Sasa unategemea hao bankers ndio waseme hayo mambo yanayofanywa kinyume na benki zao pole sana kwa mtazamo huo! Halafu thread yenyewe haiko objective kwamba hao bankers waongelee issue gani. Ndio maana naona kama ni gossip thread!That is exactly what this forum provides,hayo mambo ya limits yaache huko ofisini hapa tunataka kujua hali ikoje ,kama ni mambo ambayo yanafanywa kinyume I'll surely expose them