Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu...

Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu...

Nchi zilizoendelea kuwa Bank tellers au cashier ni kama kuwa mfagizi bongo, ni kazi zinazodharaulika, ila bongo ndio watu wanaona ni prestigious jobs
 
Naongelea upande wa tellers sio general naushahidi mtu alikuwa anafanya kazi Teller aliyesomea I.T walivyokuja auditors wakapendekeza atolewe mle kwa sababu ya profession yake ni rahisi kucheza na systems
Those were stupid auditors, teller anacheza vipi system wakati yake inaweza kuwa set up such that anachoweza kutumia ni system pekee, na pale kwenye macube yao yamejaa ma cctv cameras

That must be one of the most absurd audit observation.
 
Mkuu technology gani hiyo ya 5 hours kuangalia movement za teller thru Cctv, hiyo ni issue ya dakika 5 Manager amepata complain anafungua pc yake anaangalia transaction hiyo yenye short imefanyika saa ngapi anatrace teller cubic number anatrace video 5 or 10 minutes before the transaction zinaangaliwa movements zote za teller kama aliangusha noti chini ili aje aiokote baadaye inaonekana.
Kuna teller mmoja alikuwa anakula michongo na majambazi kama mtu anakuja kuchukua pesa nyingi anawa text akitoka mteja anatoka na watu ambao wanaenda kumuumiza mbele. Hiyo trend ikawa reported kwa kuwa kulikuwa na mteja kila akihudumiwa na huyo cashier akitoka nje anaona kuna aina fulani ya kufuatiliwa akaripoti huo wasiwasi wake. Management ika trace ktk camera big withdrawals anazoprocess yule teller wakaona kabisa anachukua simu anawatext wazee wa kazi. Siku nyingine akaja jamaa anawithdraw pesa nyingi teller kabla kuprocess akachukua simu, ile anamaliza tu kuwatext jamaa zake police wakamkamata wakamtia pingu wakachukua simu wakaona madudu yoote. Jamaa ananyea debe mwaka wa 3 sasa
Miaka hii ukitaka kuwa mwizi inabidi uwe na akili sana
Duuh alipigwa mvua ya miaka mingapi mkuu...???
 
Those were stupid auditors, teller anacheza vipi system wakati yake inaweza kuwa set up such that anachoweza kutumia ni system pekee, na pale kwenye macube yao yamejaa ma cctv cameras

That must be one of the most absurd audit observation.
They had reasons
 
I agree.Nnje ya system ya bank ,kuna human review
rs ,na system inadetect kila task unayofanya na kurekodi , na hakuna task unayoweza kufanya pekeako ikakamilika bila kumuhitaji MTU aliejuu yako au MTU wq pili(maker and checker ).
Hata uwe IT unakaa dirishani maana vitu vimerahisishwa na haiitaji use umesomea finance sijui accounts No.....unajifunza by experience...
 
crdb inawafanyakazi wengi wasio waaminifu, kuna cashier alichomoa laki 1 katika 15m niliyokwenda kudeposit akaniambia laki imepungua, sikujibu chochote nikatoa laki mfukoni kujazia. Nikaja kukutana nae bar usiku saa 8 tukamalizana kihuni. Alinirudishia 2m ili iwe fundisho kwa wengine wanaopalamia miji ya watu wasiowajua
 
mnadondosha chini ya miguu huku mkijifanya mnahesabu,huo mchezo mmewapiga sana wastaafu halafu we utakuwa NMB au finca.
acha zako finca teller sio wezi asee,nimefanya kwa miaka 5 sijawai kuiba hela ya mteja, ila nilikuwa nikikosa hali najikopesha strong room au kwenye vibubu jmosi nalipa jtatu asubui hahaha.huwezi kufa njaa ukiwa teller
 
Hahaha, hawako makini Wa room .....labda ujikopeshe laki....vibubu mnafunga watu wawili kibubu kimoja kula mmoja na funguo take na nichako.......ukikaziwa hutoki
 
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.

mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.

huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku nitamtoa bank teller mmoja kupitia kile kitobo cha kumpea pesa!
 
Back
Top Bottom