Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu...

Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu...

Tuanze na wewe, upo bank gani?
Sasa unategemea hao bankers ndio waseme hayo mambo yanayofanywa kinyume na benki zao pole sana kwa mtazamo huo! Halafu thread yenyewe haiko objective kwamba hao bankers waongelee issue gani. Ndio maana naona kama ni gossip thread!
 
Bank Fulani tena kongwe tu si vizuri kuitaja, kwa tahadhari ni bora mteja ukajipanga vizuri na pesa yako kuliko kwenda kuanza kuhesabia counter
 
Kumbeee iyo ya kuambiwa elfu kumi imepungua nimeambiwa sana CRDB azikiwe primier mule. Da alafu kuna msela mmoja alitakaga kunipiga milioni tano mule aliingiza kwenye akaunti sio yangu nilikuja kushtuka badae sana mi niliamini ile pay slip nikatia mfukoni bila kuangalia aisee yule dogo sita msahau
CRDB Millennium Tower pia wanahako kamchezo, walimpiga jamaa yng elf 40 kwenye ada ya Chuo kipindi flan tunapiga shule Ustawi, wanafunzi wengi wa Ustawi ni wahanga wa Tawi pale
 
Inawezekana kweli ila mwingine anakosea kuhesabu huko alipotoka unakuta mtu kaja na mil.10 kaihesabu kwa mkono kumbe kasahau 20,000 atabishana na Teller mpaka, na mwingine anajua kabisa kuna kiasi kimepungua ila atang'ang'ania kwamba ilikuwepo
CRDB Millennium Tower pia wanahako kamchezo, walimpiga jamaa yng elf 40 kwenye ada ya Chuo kipindi flan tunapiga shule Ustawi, wanafunzi wengi wa Ustawi ni wahanga wa Tawi pale
 
Nmb cheo ni bank officer.ambapo siku nyingine unaweza ambiwa nenda dirishani au baki customer service....kwaujumla kazi ya benki ni ngumu na ina stress sana
 
Last month 7/5 nilienda CRDB Mbagala, kuna mtu alikua ananitolea 5m.... tukazihesabu zimetimia vizuri. Baadae nikaja Exim Kariakoo kwenye gari lao kubadili to Usd, nikatolewa 5,000/= fake katika zile hela.
 
Lak
Kumbeee iyo ya kuambiwa elfu kumi imepungua nimeambiwa sana CRDB azikiwe primier mule. Da alafu kuna msela mmoja alitakaga kunipiga milioni tano mule aliingiza kwenye akaunti sio yangu nilikuja kushtuka badae sana mi niliamini ile pay slip nikatia mfukoni bila kuangalia aisee yule dogo sita msahau
Lakini ulipata pesa zako kwenye account kwa wakati after marekebisho
 
Nmb cheo ni bank officer.ambapo siku nyingine unaweza ambiwa nenda dirishani au baki customer service....kwaujumla kazi ya benki ni ngumu na ina stress sana
Haaah yaani umeamka vibaya unaambiwa Leo Fulani hayupo ingia dirishani ,alfu unatoka na short ya laki 4..
Kazi za bank stress ,hata mlo ni dakika hata 5 sometimes kwa cashier.
 
Haaah yaani umeamka vibaya unaambiwa Leo Fulani hayupo ingia dirishani ,alfu unatoka na short ya laki 4..
Kazi za bank stress ,hata mlo ni dakika hata 5 sometimes kwa cashier.
Ukiwa nje unatamani ufanye kazi benki...ila yule mfanyakazi wa benki anapambana kila siku atoke pale aende sehemu nyingine.....bank wanafaidi wale walio kwenye top positions
 
Ukiwa nje unatamani ufanye kazi benki...ila yule mfanyakazi wa benki anapambana kila siku atoke pale aende sehemu nyingine.....bank wanafaidi wale walio kwenye top positions
Maisha ya benki magumu, na mwisho wa mwezi mahesabu ndio kibao
 
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.

mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.

huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii issue sio ya kweli, katika hizi banks siku hizi nyuma ya kila Bank Teller kuna Cctv camera ukifanya ujinga wa kuku namna hiyo mteja akipeleka complain kwa wakubwa si unafukuzwa kazi kiurahisi kama kumsukuma teja
Hiyo michezo ishapitwa na wakati labda kama wewe ni Banker mstaafu
 
Back
Top Bottom