Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Those were stupid auditors, teller anacheza vipi system wakati yake inaweza kuwa set up such that anachoweza kutumia ni system pekee, na pale kwenye macube yao yamejaa ma cctv camerasNaongelea upande wa tellers sio general naushahidi mtu alikuwa anafanya kazi Teller aliyesomea I.T walivyokuja auditors wakapendekeza atolewe mle kwa sababu ya profession yake ni rahisi kucheza na systems
Duuh alipigwa mvua ya miaka mingapi mkuu...???Mkuu technology gani hiyo ya 5 hours kuangalia movement za teller thru Cctv, hiyo ni issue ya dakika 5 Manager amepata complain anafungua pc yake anaangalia transaction hiyo yenye short imefanyika saa ngapi anatrace teller cubic number anatrace video 5 or 10 minutes before the transaction zinaangaliwa movements zote za teller kama aliangusha noti chini ili aje aiokote baadaye inaonekana.
Kuna teller mmoja alikuwa anakula michongo na majambazi kama mtu anakuja kuchukua pesa nyingi anawa text akitoka mteja anatoka na watu ambao wanaenda kumuumiza mbele. Hiyo trend ikawa reported kwa kuwa kulikuwa na mteja kila akihudumiwa na huyo cashier akitoka nje anaona kuna aina fulani ya kufuatiliwa akaripoti huo wasiwasi wake. Management ika trace ktk camera big withdrawals anazoprocess yule teller wakaona kabisa anachukua simu anawatext wazee wa kazi. Siku nyingine akaja jamaa anawithdraw pesa nyingi teller kabla kuprocess akachukua simu, ile anamaliza tu kuwatext jamaa zake police wakamkamata wakamtia pingu wakachukua simu wakaona madudu yoote. Jamaa ananyea debe mwaka wa 3 sasa
Miaka hii ukitaka kuwa mwizi inabidi uwe na akili sana
They had reasonsThose were stupid auditors, teller anacheza vipi system wakati yake inaweza kuwa set up such that anachoweza kutumia ni system pekee, na pale kwenye macube yao yamejaa ma cctv cameras
That must be one of the most absurd audit observation.
Controllers na reviewers/back office ussuallyHivi ni nani anayegundua suspicious transactions??
I agree.Nnje ya system ya bank ,kuna human reviewThose were stupid auditors, teller anacheza vipi system wakati yake inaweza kuwa set up such that anachoweza kutumia ni system pekee, na pale kwenye macube yao yamejaa ma cctv cameras
That must be one of the most absurd audit observation.
Yeah lakini walinisaidia baada ya kujua mimi ni nani si unajua wanaombaga kitambulishoLak
Lakini ulipata pesa zako kwenye account kwa wakati after marekebisho
Kitambulisho gani hichoYeah lakini walinisaidia baada ya kujua mimi ni nani si unajua wanaombaga kitambulisho
cha mjasiliamali mkuu si unajua cha moto kile mkuu huwa nakitoa mara chache chache sana nikionaga mambo hayaendiKitambulisho gani hicho
Duu itabidi tufahamianecha mjasiliamali mkuu si unajua cha moto kile mkuu huwa nakitoa mara chache chache sana nikionaga mambo hayaendi
Sergeant Kifingacha mjasiliamali mkuu si unajua cha moto kile mkuu huwa nakitoa mara chache chache sana nikionaga mambo hayaendi
Mi mwananchi wa kawaida tu mkuuSergeant Kifinga
Sergeant wapi huyo Bibi, ni kabibi cha UWT chenye majungu tu hakana lolote ipo siku nitakaomba misheSergeant Kifinga
Sergeant wapi huyo Bibi, ni kabibi cha UWT chenye majungu tu hakana lolote ipo siku nitakaomba mishe
Wala tu wewe sio wa kawaida MkuuMi mwananchi wa kawaida tu mkuu
acha zako finca teller sio wezi asee,nimefanya kwa miaka 5 sijawai kuiba hela ya mteja, ila nilikuwa nikikosa hali najikopesha strong room au kwenye vibubu jmosi nalipa jtatu asubui hahaha.huwezi kufa njaa ukiwa tellermnadondosha chini ya miguu huku mkijifanya mnahesabu,huo mchezo mmewapiga sana wastaafu halafu we utakuwa NMB au finca.
Hahaha, hawako makini Wa room .....labda ujikopeshe laki....vibubu mnafunga watu wawili kibubu kimoja kula mmoja na funguo take na nichako.......ukikaziwa hutokiacha zako finca teller sio wezi asee,nimefanya kwa miaka 5 sijawai kuiba hela ya mteja, ila nilikuwa nikikosa hali najikopesha strong room au kwenye vibubu jmosi nalipa jtatu asubui hahaha.huwezi kufa njaa ukiwa teller
Ipo siku nitamtoa bank teller mmoja kupitia kile kitobo cha kumpea pesa!Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.
mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.
huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID
Sent using Jamii Forums mobile app