CLEVER SQUIRREL
Senior Member
- Feb 20, 2019
- 121
- 117
- Thread starter
-
- #21
Sasa unategemea hao bankers ndio waseme hayo mambo yanayofanywa kinyume na benki zao pole sana kwa mtazamo huo! Halafu thread yenyewe haiko objective kwamba hao bankers waongelee issue gani. Ndio maana naona kama ni gossip thread!
CRDB Millennium Tower pia wanahako kamchezo, walimpiga jamaa yng elf 40 kwenye ada ya Chuo kipindi flan tunapiga shule Ustawi, wanafunzi wengi wa Ustawi ni wahanga wa Tawi paleKumbeee iyo ya kuambiwa elfu kumi imepungua nimeambiwa sana CRDB azikiwe primier mule. Da alafu kuna msela mmoja alitakaga kunipiga milioni tano mule aliingiza kwenye akaunti sio yangu nilikuja kushtuka badae sana mi niliamini ile pay slip nikatia mfukoni bila kuangalia aisee yule dogo sita msahau
Loan mkuuMagari huwa mnapata wapi nyie watu wa bank
CRDB Millennium Tower pia wanahako kamchezo, walimpiga jamaa yng elf 40 kwenye ada ya Chuo kipindi flan tunapiga shule Ustawi, wanafunzi wengi wa Ustawi ni wahanga wa Tawi pale
Kwann mnakua na maringo sana kwa wateja?Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana.Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field.
Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana, yani mtu kapewa loan ya 300m,rejesho la pili hoi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tunatofautiana, hata ofisi zingine wa hivyo wapo. Mbona wengine tuko poa tuKwann mnakua na maringo sana kwa wateja?
Afu watu wanakuona una mawe balaa, wanasemaga NMB mnakopeshwa huko 50mNmb cheo ni bank officer.ambapo siku nyingine unaweza ambiwa nenda dirishani au baki customer service....kwaujumla kazi ya benki ni ngumu na ina stress sana
Crdb bhana ndo wako vizuri kwenye kukopesha staff wao....unakula mzigo wa kuelewekaAfu watu wanakuona una mawe balaa, wanasemaga NMB mnakopeshwa huko 50m
Crdb bhana ndo wako vizuri kwenye kukopesha staff wao....unakula mzigo wa kueleweka
Lakini ulipata pesa zako kwenye account kwa wakati after marekebishoKumbeee iyo ya kuambiwa elfu kumi imepungua nimeambiwa sana CRDB azikiwe primier mule. Da alafu kuna msela mmoja alitakaga kunipiga milioni tano mule aliingiza kwenye akaunti sio yangu nilikuja kushtuka badae sana mi niliamini ile pay slip nikatia mfukoni bila kuangalia aisee yule dogo sita msahau
Haaah yaani umeamka vibaya unaambiwa Leo Fulani hayupo ingia dirishani ,alfu unatoka na short ya laki 4..Nmb cheo ni bank officer.ambapo siku nyingine unaweza ambiwa nenda dirishani au baki customer service....kwaujumla kazi ya benki ni ngumu na ina stress sana
Ukiwa nje unatamani ufanye kazi benki...ila yule mfanyakazi wa benki anapambana kila siku atoke pale aende sehemu nyingine.....bank wanafaidi wale walio kwenye top positionsHaaah yaani umeamka vibaya unaambiwa Leo Fulani hayupo ingia dirishani ,alfu unatoka na short ya laki 4..
Kazi za bank stress ,hata mlo ni dakika hata 5 sometimes kwa cashier.
Maisha ya benki magumu, na mwisho wa mwezi mahesabu ndio kibaoUkiwa nje unatamani ufanye kazi benki...ila yule mfanyakazi wa benki anapambana kila siku atoke pale aende sehemu nyingine.....bank wanafaidi wale walio kwenye top positions
Hii issue sio ya kweli, katika hizi banks siku hizi nyuma ya kila Bank Teller kuna Cctv camera ukifanya ujinga wa kuku namna hiyo mteja akipeleka complain kwa wakubwa si unafukuzwa kazi kiurahisi kama kumsukuma tejaSis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.
mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.
huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID
Sent using Jamii Forums mobile app