CLEVER SQUIRREL
Senior Member
- Feb 20, 2019
- 121
- 117
- Thread starter
-
- #81
mkuu ukitaka kuiba ile saa ya kubalance huwa hawahesabu buku buku na buku mbili mbili...wanahesabu ten na 5, sasa wewe kabla ujalaza kwenye kububu unapiga labda 2000 kumii tano buku buku kumi, siuwakika wa weekend huo kabisa, we unataka kuiba milioniHahaha, hawako makini Wa room .....labda ujikopeshe laki....vibubu mnafunga watu wawili kibubu kimoja kula mmoja na funguo take na nichako.......ukikaziwa hutoki
Wengine wanahesabu hadi shilingi hamsini hadi miatanomkuu ukitaka kuiba ile saa ya kubalance huwa hawahesabu buku buku na buku mbili mbili...wanahesabu ten na 5, sasa wewe kabla ujalaza kwenye kububu unapiga labda 2000 kumii tano buku buku kumi, siuwakika wa weekend huo kabisa, we unataka kuiba milioni
ila kuiba hushindwi....ila uteller umenipa mademu nimewagonga sana ma duu!!hahhaah na wamama wajane wanaotaka mikopo. ila kuhusu salary ni mbuzi kabisaa nyambafuWengine wanahesabu hadi shilingi hamsini hadi miatano
Hio ndio non monetary pension ....Kazi kuchukua namba haddi unasahau IPI no ya yupi.....hayo matumizi mabaya ya ofisi mzeeeila kuiba hushindwi....ila uteller umenipa mademu nimewagonga sana ma duu!!hahhaah na wamama wajane wanaotaka mikopo. ila kuhusu salary ni mbuzi kabisaa nyambafu
Ushauri mwingine ni huu......kwa wale wenye marejesho ya mikopo benki usimpe hela afisa mikopo wako hata kama una muamini vipi.......na yeye ni mtu kama watu wengine anaweza kuila au kuacha kazi muda wowote ikawa umepoteza pesa.Always nenda ukadeposit mwenyewe au tumia mobile banking.Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana.
Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field.
Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana, yani mtu kapewa loan ya 300m, rejesho la pili hoi!