Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
mimi sijakutaniaKwani we umenitaniaje
πππ±π±π±π±
Basi kaa tayari kwa kutumiwa FISI mwenye hirizi usiku aje akubebe akulete kwangu!!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mimi hayo hapana
π π πππ
usinitishe banaπBasi kaa tayari kwa kutumiwa FISI mwenye hirizi usiku aje akubebe akulete kwangu!!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa si uwaambie watu wako wa karibu huko unakoishi ili wakutongoze?Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie[emoji12]
ndio maana nikasema fanya mchakato ufikirie bas au vipi SWEETHEART..hako ka mwisho wala sijafikilia hvyo
kwani walooko humu wewe ndo umewashikia akili?Sasa si uwaambie watu wako wa karibu huko unakoishi ili wakutongoze?
Au unafikiri wote humu wana akili kama zako?
hapana utanisamehe hapondio maana nikasema fanya mchakato ufikirie bas au vipi SWEETHEART..
π²π£π π π
Haya! mshindi asipopatikana usisahau kunishtua nimalizie.mimi sijakutania
upenzi wetu umeanza lini?Ndio hivyo mpenzi wangu mfuatiliwa, fanya mpango nikudere live
Yaani mtu akutongoze wakati hata hakujui unafananaje kweli??kwani walooko humu wewe ndo umewashikia akili?
usinitishe bana[emoji23]
umeshafail mbonaHaya! mshindi asipopatikana usisahau kunishtua nimalizie.
lega shi nyandaππ nimepatia?Nakutogagwa getegete onene mayo!!!
wivu tu fyuuuuuuπYaani mtu akutongoze wakati hata hakujui unafananaje kweli??
Labda watoto wenzako.
ngoja nimtafute mshana jr anipe mbwinu, mbuni, mbunu, aah mbinu ujikute tuu unajongea kwanguhapana utanisamehe hapo