yero
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 471
- 424
Sikusema hivyo, ila nilitania kuwa una mwili mzuri!kwani nawe umenitania hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikusema hivyo, ila nilitania kuwa una mwili mzuri!kwani nawe umenitania hivyo?
ukishinda mtongozo final unaingia stage ya pili urafiki jmnhaya bhana mm nimekosa bahati yangu ngoja nimalizie lunch nirudi job nitarudi badae kujua nani kaibuka kidedea na kutunukiwa papuchi ya Katoto kadhuri ..
ningekuwa nimeigiza uzi ungeunganishwaUmeshindwa kuwa mbunifu hadi uigize uzi wa faiza!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂ukishinda mtongozo final unaingia stage ya pili urafiki jmn
😂😂😂😂Zamani hapa jf tulikuwa tunapata taabu na watoto wa sekondari.
Kwa sasa ule usumbufu umehamia kwa madogo waliofunga vyuo na waliohitimu.
katoto kazuri na Atoto msaidieni Katoto kadhuri.
🤣🤣kazi njema😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
haya ww unakipi kizuri?Sikusema hivyo, ila nilitania kuwa una mwili mzuri!
Vyotehaya ww unakipi kizuri?
Pale ufuatiliaji wa penzi lako kwangu ulipoanzaupenzi wetu umeanza lini?
hongeraVyote
nini maana ya upenzi?Pale ufuatiliaji wa penzi lako kwangu ulipoanza
Usiniambie nawe uko kwenye foleni[emoji134][emoji134]utatukubalia wote au unataka kutongozwa tu ?
nini maana ya upenzi?
Asante! So inakuwaje, tufunge uzi au?hongera
bado bado ngoja uzi haufungwi☺️Asante! So inakuwaje, tufunge uzi au?
labda nimuweke mm kwenye foleniUsiniambie nawe uko kwenye foleni[emoji134][emoji134]
ndiyo maana yake?Upendaji