Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Ukifika wasaa wa wanaotaka kutest mitambo utanishtua bibie.
 
Naona Dunia inakutana,na changamoto.Hakimu amekuwa shahidi.ukifikia sehemu ameanza kusema nivue tu...mnitag
 
Upumbavu ni sifa.. Hali ya kuwa mjinga kupitilza.. Mfano huyo jamaa uko juu amekupa sifa nyingine ya umalaya, kwaiyo kwa ujumla tuna sema wewe ni "MALAYA MPUMBAVU"

umenielewa best yangu?
Weka akiba ya maneno Chief.wanaopiga chaputa hawapenda unaweza ukapewa offer
 
Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie[emoji12]
Kutongozwa hadharani ili ubuni nini?
Kutongozwa ni faragha baina ya watu wawili kwa utamaduni wa nchi hii.
Ni vyema basi ungewapa namba kama umedhamilia.
Au pengine unafanya research?
 
Kutongozwa hadharani ili ubuni nini?
Kutongozwa ni faragha baina ya watu wawili kwa utamaduni wa nchi hii.
Ni vyema basi ungewapa namba kama umedhamilia.
Au pengine unafanya research?
faragha ni michosho na viswali swali vyenu. Mwaga hapa hapa
 
Back
Top Bottom